Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.

Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.

View attachment 2708704
Ebu nierekeze iniboksi namuna ya kupata mpenz nje nikiwa bongorand maana mm nikijiunga naretewa watanzania wenzangu wa apa apa siwatak
 
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.

Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.

View attachment 2708704
Mkuu unaonyesha wewe sio mtu wa dhiki Kila la kheli mkuu...
 
Ukute jamaa amewahi kutongoza wadada wengiwengi,ila wakawa wanataka pesa,akawa anawapita,saa hizi wanajutia.
 
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.

Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.

View attachment 2708704
sema wauza **** wakiamua kutulia wanatulia kweli.
 
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.

Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria za JF) tumefunga ndoa, fungate Dubai Hadi Leo tunalea familia vizuri tu.

View attachment 2708704
Kwahyo hapo ndio mlikua dubai ama
 
Back
Top Bottom