Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

Tusiwalaumu sana, unakuta binti amemaliza chuo, mwaka wa nne hana kazi, umri unaenda hakuna ndoa inabidi apambane ili aweze kuishi; wakiume wanaweza kukimbilia kazi ya boda boda n.k
sio mwaka wa nne adi wa nane uko maana serekalini hamna ajira
wamejazana kwenye apps uko kutafuta bando na vocha. ukizubaa tu umeumia. maamaae😁😁
 
ila wanawake bana kwa unafiki hawajambo

apo ukute anamaanisha kinyume chake🤣🤣
Umenikosea sana......
Sina haja ya kuongea uongo,wamependeza Kwa macho yangu,kama macho Yako yameona hawajapendeza usidhani kila mtu anaona unachoona wewe.....
Waulize familia yangu wanajua nimenyoka kwenye YES ni YES kwenye NO ni NO.
 
Hongerenu mwaya kupata ni raha sana kukosa ndio mbaya na umepata watakaonuna wanune wivu tu kazi yao kupata madunga nyembe yenye jinsia mbili
 
Back
Top Bottom