Nilikutana na mwenza wa maisha Dating sites

December hii tunaenda Cape Town Kwa vacation kuanzia tarehe 23/12/2023 mpaka 04/01/2024. Asanteni Sana Kwa maombi yenu
 
Mbona huko kila mtu anajiuza, wewe ulimpataje!

Labda utuambie ulipata malaya akaamua kubadilika!
Kosa liko wapi?
MUuzaji amekutana na mnunuzi sokoni..
Biashara ikafanyika, sasa kila mtu anafaidi bidhaa aliyonunua sokoni
 
Dating sites ndio zinatoa couple nyingi sana kwa sasa hata intermarriage ukitaka ndoa na mchina mzungu au taifa lolote unapata kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…