Sasa hapa nimueleweje ?
Nilikua nampango wa Kupiga Kwa ndom tu, ila sasa inabidi, nimpime alafu nipigie ndomu.
Kanikata stimu sana, sema kafanya vizur maana angekuja kama tulivyoonana pengine ningepigia kondomu tu.
MWANAMKE amepewa UWEZO wa kukuza vitu VIDOGO kuwa VIKUBWA.
.Sio Kwamba Anajifanyisha ndivyo WALIVYO ( They put things into details and Multiply)
Nakuandikia kiingereza UTAFIKIRI nilikusomesha[emoji23]lakini ndo hivyo Huna la Kufanya..!
Mwanamke UKIMPA TABASAMU anakupa KICHEKO.
Mwanamke Ukimdekeza Atakupa MAPENZI
Mwanamke Ukimpa Mapenzi atakupa Chakula Cha Ndoa ( kwa wanandoa).
MWANAMKE Ukimpa Stress atakupa KILIO.
Mwanamke ukimzaba KIBAO anatasema ULITAKA KUMUUA.
Mwanamke atavaa APENDEZE ili APENDWE lakini jichanganye umwambie NAKUPENDA
Atakwambia HALAFU kaka nilikuwa nakuheshimu Sana lakini UMENIBOA Sana[emoji1]
Mwanamke anaweza kunyoa NYUSI akapaka Rangi Nyeusi( Hawa watu ni very funny,ukilazimisha uwaelewe UTACHOKA)
Unaweza kumpendezesha akaenda Kumshukru aliyemkumbatia na kumwambia UMEPENDEZA.
Mwanamke Ukimpa WAZO( idea) ataligeuza Kuwa HALISI( reality).
Ukimpa mbegu za KIUME atakupa MTOTO.
Mwanamke Ukimpa 10K ataizalisha itakuwa 100K.
Kama MKE wako hazalishi Kuna Mambo 3
Yawezekana Hajui Uwezo wake huo aliopewa ( Illiteracy)
Umemuumiza, Ana majeraha anatembea huku moyo unavuja damu kwa sababu Yako.
AU.....!
Anajua lakini ameamua TU kutotumia Uwezo wake.
Ukimfahamu mwanamke wako na Uwezo wake Utakula vingi VITAMU