Mimi siku hizi Instagram inanisaidia sana.
Nikikutana na demu nimemuelewa, hua naomba insta yake kiroho safi tu. Wengi siri zao nyingi huwa wanazianika mule ama kwa kujua au bila kujua
Mfano utakuta demu kapost picha kibao yupo nusu-uchi, au kapost mapicha yupo hoteli kubwa tofauti tofauti tena vyumbani, kama ni mvaa vikuku lazima kuna picha utakuta kavivaa, kama ana tattoo lazima ataonyesha, kama ni mlevi, mtu wa viwanja sana, mvuta shisha nk taarifa zote utazipata kule.
Hii imenisaidia sana kuepuka vimeo.