Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Tumia kinga tu, kavu sio mpango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sipendi 😂😂sivai hereni wala kikukuu wapa cheni wala bracelet ila shanga navaaWe upendi urembo ad usivae?
heeeee hadi kwa wake za watuTunaziita "red flags"
Wasio na insta inakuwaje boss?Mimi siku hizi Instagram inanisaidia sana.
Nikikutana na demu nimemuelewa, hua naomba insta yake kiroho safi tu. Wengi siri zao nyingi huwa wanazianika mule ama kwa kujua au bila kujua
Mfano utakuta demu kapost picha kibao yupo nusu-uchi, au kapost mapicha yupo hoteli kubwa tofauti tofauti tena vyumbani, kama ni mvaa vikuku lazima kuna picha utakuta kavivaa, kama ana tattoo lazima ataonyesha, kama ni mlevi, mtu wa viwanja sana, mvuta shisha nk taarifa zote utazipata kule.
Hii imenisaidia sana kuepuka vimeo.
Alivisahau home. Huo ni urembo tu
Mimi siku hizi Instagram inanisaidia sana.
Nikikutana na demu nimemuelewa, hua naomba insta yake kiroho safi tu. Wengi siri zao nyingi huwa wanazianika mule ama kwa kujua au bila kujua
Mfano utakuta demu kapost picha kibao yupo nusu-uchi, au kapost mapicha yupo hoteli kubwa tofauti tofauti tena vyumbani, kama ni mvaa vikuku lazima kuna picha utakuta kavivaa, kama ana tattoo lazima ataonyesha, kama ni mlevi, mtu wa viwanja sana, mvuta shisha nk taarifa zote utazipata kule.
Hii imenisaidia sana kuepuka vimeo.
huyo ni fundi.msiwe mnawaogopa wanawake mafundi.
Mashangazi yako busy na vikoba/marejesho. Hawana time na vikuku 😅Vipi yale mashangazi yako mabonge nayo wanavyo? [emoji81][emoji81]
Mashangazi yako busy na vikoba/marejesho. Hawana time na vikuku [emoji28]
Na vinawapendeza sanaHayo mashangazi ya bush [emoji81][emoji81][emoji81]
Hawa wa mjini tunawaona na vikuku na vibata juu.
Na wewe unawaelewa mkuu 😹😹Na vinawapendeza sana
Mie mashangazi na ma single mother nawaelewa sana hawa viumbe ni vile tu....Na wewe unawaelewa mkuu 😹😹
"Mwanamke Ukimpa 10K ataizalisha itakuwa 100K.".MWANAMKE amepewa UWEZO wa kukuza vitu VIDOGO kuwa VIKUBWA.
.Sio Kwamba Anajifanyisha ndivyo WALIVYO ( They put things into details and Multiply)
Nakuandikia kiingereza UTAFIKIRI nilikusomesha[emoji23]lakini ndo hivyo Huna la Kufanya..!
Mwanamke UKIMPA TABASAMU anakupa KICHEKO.
Mwanamke Ukimdekeza Atakupa MAPENZI
Mwanamke Ukimpa Mapenzi atakupa Chakula Cha Ndoa ( kwa wanandoa).
MWANAMKE Ukimpa Stress atakupa KILIO.
Mwanamke ukimzaba KIBAO anatasema ULITAKA KUMUUA.
Mwanamke atavaa APENDEZE ili APENDWE lakini jichanganye umwambie NAKUPENDA
Atakwambia HALAFU kaka nilikuwa nakuheshimu Sana lakini UMENIBOA Sana[emoji1]
Mwanamke anaweza kunyoa NYUSI akapaka Rangi Nyeusi( Hawa watu ni very funny,ukilazimisha uwaelewe UTACHOKA)
Unaweza kumpendezesha akaenda Kumshukru aliyemkumbatia na kumwambia UMEPENDEZA.
Mwanamke Ukimpa WAZO( idea) ataligeuza Kuwa HALISI( reality).
Ukimpa mbegu za KIUME atakupa MTOTO.
Mwanamke Ukimpa 10K ataizalisha itakuwa 100K.
Kama MKE wako hazalishi Kuna Mambo 3
Yawezekana Hajui Uwezo wake huo aliopewa ( Illiteracy)
Umemuumiza, Ana majeraha anatembea huku moyo unavuja damu kwa sababu Yako.
AU.....!
Anajua lakini ameamua TU kutotumia Uwezo wake.
Ukimfahamu mwanamke wako na Uwezo wake Utakula vingi VITAMU
Wewe unayaona mashangingi, na sio mashangazi 😅Hayo mashangazi ya bush [emoji81][emoji81][emoji81]
Hawa wa mjini tunawaona na vikuku na vibata juu.
Malizia unavaa kiunonisipendi 😂😂sivai hereni wala kikukuu wapa cheni wala bracelet ila shanga navaa