Nilikutana naye hajavaa vikuku mguuni, muda Huu kaja kunisalimiaa Amevaa vikuku miguuni

Mkuu unaangusha jahazi mbona unatuwakilishaga vyema imekuwaje siku hizi...!
 
Nungaembe ni kama hajawahi kuolewa kabisa. Ila wengine walishaachika mara kadhaa, sasa wameamua kama mbwai mbwai tu πŸ˜…
πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™ŒπŸ™Œ
Hiyo kitaalamu mbwa kala mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…