Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika!
Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni nafanya kazi benki mwanaume niliyekuwa naye huko nyuma naye anafanya kazi benki sema tawi jingine.
Sasa mwezi wa tatu nikakutana na mtu mwingine kwenye mambo ya kikazi, anafanyakazi benki pia sema ni bosi kidogo na wapo ofisi moja na mwanaume mwingine. Niliogopa kumwambia ukweli, hivyo nilimzungusha kwa muda wa miezi kama miwili ndipo tukawa serious (mwezi wa tano). Ila siku mwambia kuhusu yule kaka niliyekuwa naye.
Nilivyokwenda kwake, kuna mtu aliniona, akamwambia kuhusu mimi kuwa na mahusiano na yule kaka. Aliponiuliza nilikataa kwa sababu niliogopa. Yule kaka alivyojua ninatembea na mkuu wake alianza kusambaza taarifa kuhusu mimi. Juzi huyu mwanaume wangu aliniuliza tena kama nshawahi kuwa na mwalimu staff mate wake, ikabidi nikubali. Ameumia sana na kuna namna naona amebadilika.
Ananiambia alijua muda mrefu na anasema amenisamehe, kuna namna nahisi kama hajanisamehe na atakuja kuniacha tu. Niko kwenye dilema. Unadhani inawezekana akanisamehe kwa kutokusema ukweli na kwa kuwa nilishawahi date mfanyakazi mwenzake?
Najua nimemkosea sana na nilishaomba msamaha.
Nikimpigia simu ananitolea maneno ya kuniumiza kuwa yuko na mpenzi wake hivyo nisipige simu. Nina miaka 29, yeye ana miaka 34.