amekupotosha,Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri.
Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida? Akaniambia, nakushauri kama ndugu yangu, hakuna mwenye uhakika na lolote. Kwanza ukiwa njiani utapata usumbufu mkubwa sana, utasimamishwa kila mahali na kukaguliwa. Lakini kukitokea chochote, unaweza kushambuliwa na upande wowote kimakosa, wazuia maandamano au waandamanaji. Na wakati fulani unaweza kushambuliwa na wenye hofu, ufahamu kuwa askari wetu wamekuwa katika mahangaiko kwa zaidi ya mwezi, aliyechoka anaweza kufanya chochote kwa sababu ya hofu au kukosa umakini.
Imenibidi niahirishe safari mpaka tarehe 9.
NB. Kama wakuu wa ulinzi wana hofu namna hii, ni nani mwenye uhakika wa usalama wa nchi hii kiasi cha kuendelea na shughuli kama ilivyo kawaida? Tusiwalaumu wananchi walioamua kufunga maduka yao au kutulia tu majumbani kwao, na kuwaacha askari wakifanya maandamano kwa niaba ya waliokusudia kuandamana.
Ukiachana na uchawa ila pia hulitakii mema taifa letuamekupotosha,
then nawe mbio mbio unakuja jukwaani kupotosha wadau wa Jf, kutafuta kiki, tension na public sympathy useless, right?🐒
nadhani ni ulofa kubabaika na porojo za upotoshaji useless kama hizo gentleman 🐒Ukiachana na uchawa ila pia hulitakii mema taifa letu
porojo wakati kila mtu anaona au we kipofu?nadhani ni ulofa kubabaika na porojo useless kama hizo gentleman 🐒
Yes,porojo wakati kila mtu anaona au we kipofu?
wewe ni sikio la kufaYes,
kila mdau wa jf anaona upotoshaji huo jukwaani, huku safari za angani, majini, nchi kavu ikiwa ni pamoja na mabasi ya mikoani zikiendelea kama kawaida usiku na mchana, right?🐒
Ila we jamaa itakuwa unalipwa pesa nyingi sana kuitetea serikaliamekupotosha,
then nawe mbio mbio unakuja jukwaani kupotosha wadau wa Jf, kutafuta kiki, tension na public sympathy useless, right?🐒
Mkata viuno kazini huchoki hata yasiokuhusu wewe mbio mbio msemaji wa WACHAWI wa ccm jinga Sana weweamekupotosha,
then nawe mbio mbio unakuja jukwaani kupotosha wadau wa Jf, kutafuta kiki, tension na public sympathy useless, right?🐒
wewe ni mfuata mkumbo wa kiwango cha chini sana gentleman, ndio maana unaweza kubebwa ufala wa kifikra na upotoshaji useless kama huo, right?🐒wewe ni sikio la kufa
relax tu ikiwa uko pointless gentleman na itapendeza zaidi 🐒Ila we jamaa itakuwa unalipwa pesa nyingi sana kuitetea serikali
Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri.
Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida? Akaniambia, nakushauri kama ndugu yangu, hakuna mwenye uhakika na lolote.
Kwanza ukiwa njiani utapata usumbufu mkubwa sana, utasimamishwa kila mahali na kukaguliwa. Lakini kukitokea chochote, unaweza kushambuliwa na upande wowote kimakosa, wazuia maandamano au waandamanaji.
Na wakati fulani unaweza kushambuliwa na wenye hofu, ufahamu kuwa askari wetu wamekuwa katika mahangaiko kwa zaidi ya mwezi, aliyechoka anaweza kufanya chochote kwa sababu ya hofu au kukosa umakini.
Imenibidi niahirishe safari mpaka tarehe 9.
NB. Kama wakuu wa ulinzi wana hofu namna hii, ni nani mwenye uhakika wa usalama wa nchi hii kiasi cha kuendelea na shughuli kama ilivyo kawaida?
Tusiwalaumu wananchi walioamua kufunga maduka yao au kutulia tu majumbani kwao, na kuwaacha askari wakifanya maandamano kwa niaba ya waliokusudia kuandamana.
Akili hauna, hapa niko safarini kila baada ya kilomita 5 kuna ukaguzi usiopungua dakika 10, hadi keroamekupotosha,
then nawe mbio mbio unakuja jukwaani kupotosha wadau wa Jf, kutafuta kiki, tension na public sympathy useless, right?[emoji205]
ukaguzi ni jambo la kawaida kwa usalama wa abiria, lakini upotoshaji nonsense kama wa mtoa hoja ni kitu useless zaidi,Akili hauna, hapa niko safarini kila baada ya kilomita 5 kuna ukaguzi usiopungua dakika 10, hadi kero
Huyo mjinga utakuta alipwi hata senti moja.Ila we jamaa itakuwa unalipwa pesa nyingi sana kuitetea serikali
Athari ya kufunga biashara ni kubwa sana kiuchumi, lakini hili linaonyesha kuwa serikali haiaminiwi na wananchi na vyombo vyake vya ulinzi na usalama navyo haviaminiwi na wananchi.Watu wamefunga biashara huko dah ina maana siku nzima hakuna movement
Ova