Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #21
sana inabidi kuomba sana kwa suala hiliWanaume wanapungua sana duniani.
Mungu atusaidie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sana inabidi kuomba sana kwa suala hiliWanaume wanapungua sana duniani.
Mungu atusaidie.
sasa kama wewe umeamua kujiita mama samia kweli utakuwa upo sawa kiakili? si rahisi. waulize watu wenye akili huwa wanakutana wapi. au umezoea wewe wanaume wanakuambia ukakutane nao guest house ndo unaona ni sawa? sisi wanaume wa kizamani tunakuana na wageni sehemu za waziHata wewe huna tofauti na huyo jamaa. Ishu za JF ziishie JF sio hadi kupanga miadi ya kukutana Bar
una hasira sababu ya kuwa na hiyo app... mi nilikuwa nadhani una akili kumbe kilaza sana. huwezi kuwa na asili ya uana ume na hiyo app kwenye simu yako. nilijua tu utakuja kujitokeza.Rubbish post
unadhani wana uelewa mkubwa wa kuelewa haya mambo? waone tu wamevaa suits.....hamna kituUmewahi waeleza kuwa bahari haiitaji maji ya mvua wajenge mabwawa ya kilimo Cha umwagiliaji?
nakubaliana nawe sister ....mi mwanamke wa hivyo siwezi hata kum date.sio mwanaume tu...hata mwanamke matured kua na app ile ni.jau...au basi...nahis inawafaa under 30.....au basi
Unajipakulia manyama mwenyewe 🤣🤣Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake.
Heeeee! Nimeangalia ana app ya Mange Kimambi, nikamtoa akili kabisa! Kumbe jamaa hayupo serious na maisha kabisa ndio maana nilikuwa namwona tu kama sometimes hajielewi elewi anaongea sana.
Jamaa anajua taarifa za mastaa wa bongo na michepuko yao kuliko kuelewa mambo ya msingi katika maisha ambayo yatakuwa na mchango chanya kwake. Nilimuuliza maswali kadhaa tu kupima uelewa wake, nikaona ana eleaelea sana.
Ile tukiwa pamoja akaingia insta, kisha akaanza kuniambia kwa sasa msanii fulani anatoka na sijui nani na hapo akawa amepokea simu nyingine ananiambia amepigiwa simu na msanii mmoja wanataka waende Dodoma wakaonane na Waziri flani.
Huyo msanii ni mwanamke ni kama anampeleka kumkuwadia. Maana anasema huyo Waziri anamtaka sana huyo demu. So kawaaambia waende wakaeleze changamoto zao. So hapa akawa anataka kunionesha ana ukaribu sana na Mawaziri! Hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nje ya nchi.
Huyu jamaa ni kilaza, nilim-block jana hiyo hiyo abaki kuwa kuwadi, mi sitaki ukaribu na watu wasiojielewa. Mwanaume huwezi kuwa na App. ya Mange Kimambi. Huwezi kuwa mwanaume ukawa na hiyo App.
Nimepasua jipu.
hili swali nime mforwardia your mother kasema atakujibu. na amekasirika sana....alitaka kukupigia nimemkataza akuache kwanza utoke shule uje likizo. yeye anaweza kukujibu hili kwa kina. maana nlianza kuhisi pengine zile mimba mtu anapata si zangu.Wewe ni wa kike au wa kiume?
kabisa ndugu yangu... maminofu tuUnajipakulia manyama mwenyewe 🤣🤣
Akiwemo mtoa mada tz ukiwa serious sana kuna michongo itaku skip world is changing sema mhusika alishindwa ku copy na mazingira ila hayo mengine ni ya kawaida so kuja kutupigia kelele humu
Asante.So hapa akawa anataka kunionesha ana ukaribu sana na Mawaziri! Hajui mimi nashinda nao na kufanya nao vikao vingi tu vya kiserikali tukisafiri huku na kule ndani na nje ya nchi.
ungemwambia mtu akuandikie vizuri usomeke uelewekeAkiwemo mtoa mada tz ukiwa serious sana kuna michongo itaku skip world is changing sema mhusika alishindwa ku copy na mazingira ila hayo mengine ni ya kawaida so kuja kutupigia kelele humu
Achana na mwandiko chukua ujumbe tu bossungemwambia mtu akuandikie vizuri usomeke ueleweke
Ujumbe unaweza usieleweke sababu ya maneno yaliyotumika.Achana na mwandiko chukua ujumbe tu boss
Kama wewe ulivyo na mumeo choo na mfuniko.Nyie wote mmekutana pipa na mfuniko,wote wambea wambea.
Watu mnakaa sehemu mnaongea halafu unakuja kubwabwaja huku si umbea huo!Kama wewe ulivyo na mumeo choo na mfuniko.
Tafuta mtoto wa vidudu akusomee bossUjumbe unaweza usieleweke sababu ya maneno yaliyotumika.
I really dont understand kabisa,inakuaje una chat na mtu JF halafu unakutana nae in real life?Jamaa tumewasiliana humu aliomba niweze msadia mambo kadhaa, nikasema haina shida lets meet. Ni almost two months anasisitiza jambo hilo nami nikaona si shida sababu binadamu ni kusaidiana. Jana tumeonana sehemu tukawa tunapata kinywaji na chakula akawa ananionesha kitu fulani kwenye simu yake.