Nilikuwa nadhani atakuwa na akili au smart kumbe ni wa ovyo tu

😂 😂 😂 😂 😂 nimecheka kwa sauti ofisini ,mbavu zangu.
 
Najaribu kufikiri ni kazi gani itakupa nafasi ya kushinda na mawaziri ukifanya nao vikao na kusafiri nao.

1. Uraisi/Makamo.
2. Ukatibu mkuu
3. Uwaziri mkuu
4................
Udereva kama una muendesha Waziri au katibu wa wizara sasa kuktana na mawaziri wenzake ni kawaida mnapoonda dodoma kweny vikao, bunge na safari za ziara nk
 
Mimi nikiwa na mazungumzo na mtu halafu reference yake ikawa mange huwa siongei tena...

Nabaki kumsikiliza tu.
 
Udereva kama una muendesha Waziri au katibu wa wizara sasa kuktana na mawaziri wenzake ni kawaida mnapoonda dodoma kweny vikao, bunge na safari za ziara nk
Dereva haingii kwenye vikao achilia mbali kusafiri nje ya nchi.
 
Wote akili zenu zinafanana
 
Kitendo Cha wewe kuandamana na mtu humjui Ni risk.na Ni ujinga sna

Jamaa angekuwekea sumu kwenye kinywaji na kwa jinsi unavyo tukana watu hmu IPO siku utajah kwa mbaya wako
 
Najaribu kufikiri ni kazi gani itakupa nafasi ya kushinda na mawaziri ukifanya nao vikao na kusafiri nao.

1. Uraisi/Makamo.
2. Ukatibu mkuu
3. Uwaziri mkuu
4................
Huyu Hana Kaz bhna anashinda Huku kutuka na kupinga nyuz za watu

Jmaa huyu amepanga kimara baruti namnjuwa vzr
 
Najaribu kufikiri ni kazi gani itakupa nafasi ya kushinda na mawaziri ukifanya nao vikao na kusafiri nao.

1. Uraisi/Makamo.
2. Ukatibu mkuu
3. Uwaziri mkuu
4................
dereva umemsahau
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…