Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
Poa mkuuSasa kama ni showroom si uende uulizie bei na upatane kabisa na hao wahindi!
Nenda pale showrooms za pale morocco wana hizo ndinga hazijachakachuliwa wala nini! Na bei ni reasonable!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaahaa...maskiniSijakataa mkuu ila anapenda kulia lia kila mara khs hio gari.
Haahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]we jamaaGari la hovyo hilo ata sehem ya kuweka screen hakuna.. Mpaka ufunge na mascrew kwenye dash board
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haahaa uwiiiAnaetoa toa macho kama mimi asiejua lolote juu ya magari kama mimi na hajui atamiliki gari lini na anapitia comments mbalimbali za uzi huu kama mimi anyooshe kidole[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akikutafuna uje ulete mrejesho hapaMshikaji wangu ofisini kavuta hilo la 2014 ....mpaka namtamania[emoji15] [emoji15] ...weekend hii ananikopa mndinga wake huo niundeshe yy anabaki na mkebe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani ijumaa ifike nikabidhiwe kitu, can't wait!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru haka kauzi naweza kuwafahamu wenye magari namandingaBlack is the dominant colour, Safari Automotive ni nyoko kuipimp ndinga afuu bei ya kawaida tuu niliona pia kwa staff mmoja alifanya pale!...... Ngoja mambo yangu yakae vizuri nizamie wadesign kitu yangu japo nilitaka niende pale Harrish MM Masaki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hata mkokoteni ila napenda kluger kwanza haina manyama makubwa nawala haijanyimwa nyama zawastani yaani nigari flani simple sana ila hiyo Nissan xtrail naionaga kama vile mgonjwa wasikoseli yaani ipo ipo2 ila msinisemee kwa Nissan xtrailKuliko kununua gar ya kishamba kluger ni bora achukue Nissan xtrail which is more cheaper,sexy and strong..... Hapa madalali wa kinondon watakuja na story ohooo xtrail ni mbovu sijui ile ya flan ipo gereji[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu hizi gari kwa sasa bei iko chini kweli 7- 8 milioni.....Mtu unanunua gari ya zaidi ya Milion 10, halafu unakuja kulia kwenye kulihudumia mafuta ya laki 6
Je wenye ma Hummer dar wasemeje sasa..
Hivi gari ya cc ndogo kumbe nayo ni janga?!...full kuhema[emoji23] [emoji23]Sababu kubwa ni power nguvu ya kwenda popote na kufika bila wasi wasi
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Anaetoa toa macho kama mimi asiejua lolote juu ya magari kama mimi na hajui atamiliki gari lini na anapitia comments mbalimbali za uzi huu kama mimi anyooshe kidole[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa ...huyo anafananisha Klugger na mgonjwa wa sikoseli X trail[emoji23] [emoji23]Sina hata mkokoteni ila napenda kluger kwanza haina manyama makubwa nawala haijanyimwa nyama zawastani yaani nigari flani simple sana ila hiyo Nissan xtrail naionaga kama vile mgonjwa wasikoseli yaani ipo ipo2 ila msinisemee kwa Nissan xtrail
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukawa na gari yenye cc kubwa (2500/3000 au zaidi) ikawa na nguvu ila ukashindwa kufika Kufika kule uendako(haina 4wd/AWD).Sababu kubwa ni power nguvu ya kwenda popote na kufika bila wasi wasi