Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Black is the dominant colour, Safari Automotive ni nyoko kuipimp ndinga afuu bei ya kawaida tuu niliona pia kwa staff mmoja alifanya pale!...... Ngoja mambo yangu yakae vizuri nizamie wadesign kitu yangu japo nilitaka niende pale Harrish MM Masaki..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru haka kauzi naweza kuwafahamu wenye magari namandinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kununua gar ya kishamba kluger ni bora achukue Nissan xtrail which is more cheaper,sexy and strong..... Hapa madalali wa kinondon watakuja na story ohooo xtrail ni mbovu sijui ile ya flan ipo gereji[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sina hata mkokoteni ila napenda kluger kwanza haina manyama makubwa nawala haijanyimwa nyama zawastani yaani nigari flani simple sana ila hiyo Nissan xtrail naionaga kama vile mgonjwa wasikoseli yaani ipo ipo2 ila msinisemee kwa Nissan xtrail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina hata mkokoteni ila napenda kluger kwanza haina manyama makubwa nawala haijanyimwa nyama zawastani yaani nigari flani simple sana ila hiyo Nissan xtrail naionaga kama vile mgonjwa wasikoseli yaani ipo ipo2 ila msinisemee kwa Nissan xtrail

Sent using Jamii Forums mobile app
Haaahaaa ...huyo anafananisha Klugger na mgonjwa wa sikoseli X trail[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa ni power nguvu ya kwenda popote na kufika bila wasi wasi
Unaweza ukawa na gari yenye cc kubwa (2500/3000 au zaidi) ikawa na nguvu ila ukashindwa kufika Kufika kule uendako(haina 4wd/AWD).
 
Back
Top Bottom