Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Naunga mkono hoja both klugger V/L zimekaa kizee ila Klugger new model ni kali kisheeeenzi bei yake sasa ni shiiida.

Ila daah Vanguard zimekua nyingi sana hapa mjini kama kipindi kile cha RAV 4(KITCHEN PARTY).
Hiyo New Model sijaiona sababu siipendi hata kuifuatilia siifuatilii.

Yes Vanguard zimekua nyingi sana sasa hivi mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwenye bei tuu...but kama Brevis inaenda mil 13, unajivuta Vuta mpaka ufikishe mil 23 uchukue SUV!

Mimi gari za chini hazijawahi kunibariki hataa! Nilikuwa nayo nilijionea mateso wanayopata wenye hizo saloon cars!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mateso haswaa hasa kwa sisi tunaokaa madongo kuinama.

mimi nilitaka nikainyanyue kidogo nikaambiwa haitokua nzuri imebidi nipambane na hali.... kila siku lazima uigonge gonge chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah weekend hii sikupi lift...kuna kiboya flani niligraduate nacho kinaishi maeneo ya Osterbay kinanirushaga roho na Tuareg yake maeneo yetu ya kula bata!

Sasa nataka weekend hii nikikate makali kwanza mamaaaaee!



Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah aisee umetisha sana mkuu ingawa hata chance ya selfie nioshe nyota ndo nimepishana nayo aisee,hahah.

Utatupa mrejesho wa comfortability Ya hio ride mkuu.
 
Back
Top Bottom