Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Mkuu we nunua tu kama unaweza nunua gari utashindwa mafuta!?
 
Ni mateso haswaa hasa kwa sisi tunaokaa madongo kuinama.

mimi nilitaka nikainyanyue kidogo nikaambiwa haitokua nzuri imebidi nipambane na hali.... kila siku lazima uigonge gonge chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora wee umesema ukweli....tatizo unavyogonga unaharibu vitu yaan!

Ungelinyanyua ungelikimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kanakuwa kama kobe akiwa anakimbizwa full kunyanyua tako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari WanaJF,
Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana.

Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi?

Ili nipate picha halisi.
Nawasilisha.View attachment 845509

Blogger & Trainer[/QUOTKama unaogopa kwenda sheli ipeleke bar kainyweshe supu hela ni matumizi kama ni ndogo nunua baby walker
 
Mshikaji wangu ofisini kavuta hilo la 2014 ....mpaka namtamania[emoji15] [emoji15] ...weekend hii ananikopa mndinga wake huo niundeshe yy anabaki na mkebe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Natamani ijumaa ifike nikabidhiwe kitu, can't wait!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi tabia za kuazimana magari ukatesee bado zipo?
 
Back
Top Bottom