mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Pamoja mkuu wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuu wangu.
Swala vs Phonex vs Avon ipi nzuri mkuu.ukitak ushauri kuhusu baiskeli nitafute
Mkuu miguu ninayo lkn haifanyikazi bora ingekuwa mizima ningecheza hata ndondo cup....[emoji17]That's life mkuu.
We unatamani Pikipiki mwenzako anatamani Mungu angemjaalia miguu/macho mkuu.
Daah pole sana mkuu.Mkuu miguu ninayo lkn haifanyikazi bora ingekuwa mizima ningecheza hata ndondo cup....[emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo life circle inavyokwenda mkuu. Asante (ingawa huwa siitiki nikipewa pole)Daah pole sana mkuu.
Sawa mkuu,sorry sikujua hilo.Ndo life circle inavyokwenda mkuu. Asante (ingawa huwa siitiki nikipewa pole)
Sent using Jamii Forums mobile app
Brevis naipenda ndani tu ...kutamu balaa!Not sure..... Hiyo Brevis Nimeshuhudia mwenyewe more than five times. Halafu ukiichoka uuzaji wake sasa ndiyo usiseme, lazima uuze kwa hasara. Lakini gari iko very comfortable .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkui, hii Safari Automotive iko sehemu gani?Nenda Safari hautojutia, yaap gharama zao si mbaya zinalipika na haichukui muda siku 2 tu labda sasa hivi wawe busy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza ongeza uvute kibaby Walker mkuuKumbe watanzania mnahela sana, yani mi nahangaika kusaka mzigo ninunue tukutuku ya boxer, nyie mwaongelea story za VX, Kluger, Harrier, Vanguard nk. Dah.....world is not fair
Sent using Jamii Forums mobile app
TrueHao unawaona wanaongelea magari pia wakiwaona wenye ma-private jets wanasema the world isn't fair.
Sasa hilo boxer lako ungeliendeshea nini?Mkuu miguu ninayo lkn haifanyikazi bora ingekuwa mizima ningecheza hata ndondo cup....[emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijaelewa una matatizo ya miguu na macho?Ndo life circle inavyokwenda mkuu. Asante (ingawa huwa siitiki nikipewa pole)
Sent using Jamii Forums mobile app
Story tu hizi kunogesha genge usihuzunike mkuu.Kumbe watanzania mnahela sana, yani mi nahangaika kusaka mzigo ninunue tukutuku ya boxer, nyie mwaongelea story za VX, Kluger, Harrier, Vanguard nk. Dah.....world is not fair
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilienda veta chang'ombe kuuliza kama wanaweza kufanya modifications waongeze side wheels lakini wakakataa kuwa hatakuwa salama kwangu maana mkono mmoja hauko sawasawa
Ooooh ok nimekuelewa....take t like joke mwanzoni! Pole mkuu!Nilienda veta chang'ombe kuuliza kama wanaweza kufanya modifications waongeze side wheels lakini wakakataa kuwa hatakuwa salama kwangu maana mkono mmoja hauko sawasawa
Sent using Jamii Forums mobile app