Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Hivi unadhani kwanini Mzigua90 hakwenda kuomba ushauri kuhusu hili kwa Baba yake? Nikijaaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na mtoto mwenye umri wa mzigua90 KAMWE hawezi kuja kwangu kuomba ushauri wa tattoo.

Mzigua bangi zinamsumbua, au ukute ana nyege tu.

Swali langu lililenga kwamba kwa mtazamo wako, ikitokea mwanao pendwa wa kike akikuomba ushauri kuhusu tattoo, utamshauri nini?

Nazungumzia ile age ambayo watoto wanawachukulia wazazi kama role models.
 
hao jamaa watakuwa wanaangalia sana porn tena zile za red hair [emoji23][emoji23] wadada wengi huko ni kama latino fulani hivi wenye tattoo. Waambie waache angalia porn Mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeelewa sasa
Nakupa mfano hai kabisa kuna dada tulikuwa naye kazini sikuwa na mpango naye kabisa wa kutoka naye, ila kuna siku sijui alikuwa anaokota nini chini ile kuinama nikaiona tatu nzr ya ua sikumuuliza kabisa sasa kila kukicha natamani niione ile tattoo mpka nikafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…