Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Christina out there all tatted up....but she’s a retired Philly stripper...
Yung paper towel na ginamit sa kamay nya pinunas sa belly nung customer tapos di nka globes mukhang madumi ang Shop Yet yung razor dpat bago lagi Ilan na kayang customer ang na shave ng razor na yan
 
.
IMG_20190701_165219.jpeg
 
Hao watatu either waliku ongopea ama walitaka usikie unachopenda ukisikie.

Mimi nikishaona una maalama na matatoo ama wanyoa kiduku mtoto wa kike: unakuwa ni kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya muda mfupi; na wengi wetu ndio huwa ivo
Tutakupitia ila ndoa utaisikia kwenye bomba
 
Hii kampeni huwezi fanikiwa kamwe, asilimia kubwa ya wanawake wenye tattoo wanaonekana ktk muonekano wa malaya wenye digirii waliopitiliza ngazi ta umalaya.
Aina ya mwanaume anaependa hiyo michoro ni wahuni tu huwezi mpata mwanaume mwenye busara zake akapenda hiyo kitu labda awe amelewa asukumwe na tamaa.
 
tattoo kitu cha kawaida tuu. na zina maana yake. sema sasa kila mtu ana mtazamo wake kuhusu tattoo. mhudumu safari ya baridi naomba. haya tuendelee. asante. sasa kuna baadhi ya nchi unaweza ukaenda umechora tattoo yako kwa maana yako,ikawa labda ya gang flani,msala. tattoo kama ishata za vidole pia. kudadeki mambo mengi kichwani. kesho nitaelezea vizuri. ngoja kwanza
 
Back
Top Bottom