Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Huyo aliyekuambia uchore kiunoni anakutafutia mabaya, mimi binafsi demu ambaye ana tattoo siwezi ku deal naye, nilishajijengea kichwani wanakuwa mambo mengi sana
Siwezi jamani nilishangaa tu mwanaume ambae yuko comfortable na mwanamke mwenye tattoo
 
Rafiki zako wanazo tattoos sehemu gani za mwili na wao kuzifahamu.

Kitu kimoja ambaxhonakina dada/wanawake wanatakiwa kujifunza ni kuwa....... Wanaume wachache sana wanaopenda mwanamke mwenye tatoo na wakampenda kwa dhati. Mitazamo iliyopo mingi simmizuri(ingawa haina maana ndiyo uhalisia).

Kama wanapenda tatoo wao kwanini wasijichore hadi watake yako ya kiunoni?

Uko sahihi mkuu, binafsi mwanamke mwenye tattoo huwa namwona kama ni mhuni, japo yawezakana nkawa siko sahihi
 
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.

Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.

Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.

Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
Wanakudanganya hao ukichora utaona madhara yake ukizeeka
 
TATOO NA UMALAYA VIMETENGANA KIDOGO SANA KAMA UGENIUS NA WEHU
 
Siwezi kuchora Tattoo na Siwezi kumdate mtu mwenye Tattoo ingawa siwahukumu waliochora sababu kila mtu na pendekezo lake, ila nina marafiki wengi sana wana Tattoo na wapo cool sababu kila mchora Tattoo lazima awe na maana nayo.
LESBIAN SHUT UP
 
hao jamaa watakuwa wanaangalia sana porn tena zile za red hair [emoji23][emoji23] wadada wengi huko ni kama latino fulani hivi wenye tattoo. Waambie waache angalia porn Mkuu.
Wewe umewajuaje kama sio mdau?
 
Mi mwenyewe kupiga manzi mwenye tatoos ni burudani sana ila kichwani najenga imag kuwa ni Malaya na siwezi kuruhusu wife awe na hayo mamichoro
 
Dah...wengine sisi shanga tu...hata zikiwa dukani...tukiziona..masikio yanasimama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzigua90 ninavyojua mimi asilimia kubwa ya wanaume hawazipendi tattoo kuna picha fulani inajengeka akilini kutokana na asilimia kubwa ya waliochora tattoo wana tabia nyingine zile mfano uvutaji bangi na mambo kama hayo japo si wote upande wangu naweza kudate au hata kuolewa na mwenye tattoo akiwa ni mtu anayeeleweka
 
Back
Top Bottom