Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri nimeupokea ila kuutenda ndo sijui
Nilipewa story na rafiki yangu kuhusu mkaka tunamjua alikua anakula tigo gf na ilibaki kidogo amuoe. Nilishangaa na nashangaa sana ambavyo wanaume wanachukulia wanawake wanaotoa tigo halafu mwingine apewe na atake kuoa kabisa
kuna vitu inatakiwa uvifanye mtu huku ukipima madhara ya badae pia.Rafiki yangu mmoja kaolewa na mwanaume mtata balaaa. Sasa na yeye ana tattoo kiunoni halafu ya play boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hata kuvaa cheni na shanga sio sahihi? Au sio sahihi kwa tafsiri yako mkuu?
Mwanamke au Mwanaume akisha jichora Tatto namwona kama mbwa, yaani hata kama awe na shida kiasi gani ni bora afe na hata mazishi yake siwezi kuhudhuria ni bora nihudhurie mazishi ya mbwa aliye gongwa na gari kuliko kuhudhuria mazishi ya mbwa aliye jichora tatto kwanza walio jichora tatto huwa siyo binadamu wa kawaida ukifuata matendo yao huwa siyo ya kibinadamu, yaani kiufupi sitaki kabisa niwaone
Ukiliwa 3 ujue ndoa hamna.Nani anapenda kuona mama wa watoto wake ana-bata?Nilipewa story na rafiki yangu kuhusu mkaka tunamjua alikua anakula tigo gf na ilibaki kidogo amuoe. Nilishangaa na nashangaa sana ambavyo wanaume wanachukulia wanawake wanaotoa tigo halafu mwingine apewe na atake kuoa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mmoja atakuambia anapenda uweke kiunoni
Atakuacha au utamuacha na utapata mwingine atasema anapenda uweke ya shingoni ili awe anaibusu na wewe kwa kuona umependwa utaweka
Mwingine atakuomba uweke kwenye kalio
Mwisho wa siku utakuwa kama atlas
Akakuchoreshe lijitatoo halafu siku ya siku akuache
Embu sema siko serious wapi kwanza ukisema na wewe huelewi unanipa mtihaniKwa umri wako haya unayoyaandika nakuona kama hauko serious..(either hauko serious na maisha yako or hauko serious kwenye uandishi wako) sa sijui lipi ni lipi.
Ndio mchumba. Ndio maana tattoo napenda ila naamini kwenye huo msemo wa sio kila tunachokipenda lazima tukifanye au kuwa nacho.Siyo kila tunachokipenda lazima tukifanye.
Lakini pia siyo crime, so you can just do it to suit your desire.
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Zile uchafu
Mwanamke au Mwanaume akisha jichora Tatto namwona kama mbwa, yaani hata kama awe na shida kiasi gani ni bora afe na hata mazishi yake siwezi kuhudhuria ni bora nihudhurie mazishi ya mbwa aliye gongwa na gari kuliko kuhudhuria mazishi ya mbwa aliye jichora tatto kwanza walio jichora tatto huwa siyo binadamu wa kawaida ukifuata matendo yao huwa siyo ya kibinadamu, yaani kiufupi sitaki kabisa niwaone
Sasa kumpeleka mpaka kwa wazazi na kutoa mahari si ilibaki taratibu za kidini tu? Na walikua wanaishi wote kama mke na mume karibia two years."Kidogo amuoe..." Hakumuoa.
Mzigua, are you drinking now?
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.
Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.
Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.
Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.