Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Kwa waTZ wengi tattoo awe nayo mchepuko ika sio mke.Na wengi wakiona tattoo ndom lazima itumike.Yaani hujua huyo ni kahaba aliekubuhu.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie sipendi tattoos zenu za mjini hizo
Kule kijijini kwetu demu wangu Nyanzige amejichora kwenye mapaja kwa kutumia korosho akaandika neno "I love u Mbwa dume"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke au Mwanaume akisha jichora Tatto namwona kama mbwa, yaani hata kama awe na shida kiasi gani ni bora afe na hata mazishi yake siwezi kuhudhuria ni bora nihudhurie mazishi ya mbwa aliye gongwa na gari kuliko kuhudhuria mazishi ya mbwa aliye jichora tatto kwanza walio jichora tatto huwa siyo binadamu wa kawaida ukifuata matendo yao huwa siyo ya kibinadamu, yaani kiufupi sitaki kabisa niwaone
 

Wanaojichora/ wanaopaka Hena je?
 
Kuna kitu unachofikilia kichwani na hujataka kuweka wazi.

Mtu hujipamba ili Aonekane, humo kiunoni na mapajani unajipamba waone akinanani vile?
Bby aone
 
Nilipewa story na rafiki yangu kuhusu mkaka tunamjua alikua anakula tigo gf na ilibaki kidogo amuoe. Nilishangaa na nashangaa sana ambavyo wanaume wanachukulia wanawake wanaotoa tigo halafu mwingine apewe na atake kuoa kabisa
Ukiliwa 3 ujue ndoa hamna.Nani anapenda kuona mama wa watoto wake ana-bata?
 
Mmoja atakuambia anapenda uweke kiunoni
Atakuacha au utamuacha na utapata mwingine atasema anapenda uweke ya shingoni ili awe anaibusu na wewe kwa kuona umependwa utaweka
Mwingine atakuomba uweke kwenye kalio

Mwisho wa siku utakuwa kama atlas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kati ya vitu sifanyi ni kama hivyo mkuu. Nawasikiliza tu ujinga wao nawaambia sio kila kitu lazima tufanye wote wengine tumeachia wengine.
 
Kwa umri wako haya unayoyaandika nakuona kama hauko serious..(either hauko serious na maisha yako or hauko serious kwenye uandishi wako) sa sijui lipi ni lipi.
Embu sema siko serious wapi kwanza ukisema na wewe huelewi unanipa mtihani
 
Siyo kila tunachokipenda lazima tukifanye.

Lakini pia siyo crime, so you can just do it to suit your desire.

Akili za kuambiwa changanya na zako.
Ndio mchumba. Ndio maana tattoo napenda ila naamini kwenye huo msemo wa sio kila tunachokipenda lazima tukifanye au kuwa nacho.
 
Mkuu usilaani hujuii nani wako wa karibu atachora. Anaweza chora hata mkeo
 
"Kidogo amuoe..." Hakumuoa.

Mzigua, are you drinking now?
Sasa kumpeleka mpaka kwa wazazi na kutoa mahari si ilibaki taratibu za kidini tu? Na walikua wanaishi wote kama mke na mume karibia two years.
Kilichomfanya asimuoe anasema aligundua dada analiwa na mtu mwingine
 
Kwa haya maelezo unaonekana wewe ni demu wa aina gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…