AhhahahhahaBwana weeeee.. sema ndo raha ya JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikushauri kufanya hivo unavyoplan. Maneno yangu sio SHERIABora nichore kwa maamuzi yangu.
Kuna imani kwamba ukichora kwa ajili ya mapenzi lazima muachane.
Siwezi kuchora tattoo kwa na kumchorea mtu ndio kabisaaa.
Nawaambiaga rafiki zangu nikifika miaka 40 nitachora tattoo ya majina ya watoto wabgu.
Kudate na mwenye tattoo shida hamna ila yule wa kumweka ndani akiwa na tattoo hapo Imani inakuwa ndogo sana kumuamini matendo yakeKumbe wako wengi eeh?
Naongeaga sana na wanaume na wengi wanasemaga wakiona mwanamke ana tattoo wanatoka mbio wanajua tu hapa shida ipo
Mimi pia nataka hiyo bidhaa,huniuzii?Lakini wewe sio mlengwa wa hilo soko chill.
Sio kila bidhaa mlengwa ni anaeiona wengine wanaiona bahati mbaya.
Kwahiyo wewe haukua target ya soko langu jitulize
Ukiwajua hawakusumbui lakini.Ahhahahhaha
Kila mtu mtkatifu shenzyyyy
Can you give this advise to your loved one?
Say your daughter.
Mwenza utatuponza wenzio, unajua kabisa hizi rangi zetu hazikubali tatoo labda nyeupe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nitachora ya baby wetu mwenza we kaa hapo
Eeeenh. [emoji134][emoji134][emoji134]Kuna wanawake wana dimples katika matackle! Mm ndio napenda zile! Ni alama za doggy style
HahhahahahahUkiwajua hawakusumbui lakini.
Si unaona huyo anasema natafuta soko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa kuweka uzi kama ndo kutafuta soko basi acha nilipate ila yeye sio mlengwa ajikaze
Si ndio nikasema neno langu sio sheria, pole kama umekwazika kwa maneno yangu nduguMkuu mtu mzima kama mimi utanishauri kweli kuweka au kutokuweka tattoo?
NdiwoooooEeeenh. [emoji134][emoji134][emoji134]
Uko wapi?Eeeenh. [emoji134][emoji134][emoji134]
Sawa sawaNdiwooooo