Eeeenh. [emoji134][emoji134][emoji134]
Nipo arushaUko wapi?
Nipo arusha
Mwanamke mwenyewe tattoo huufanya mwili wake kuwa kivutio kikubwa sana kwa mafisiKwanini sasa?
Hakuna shida namtuma mtu anichukulieUshakosa vile vitu vyako pendwa
At least wewe umenipa sababu zaidi ya maumivu ya kwanini nisichore tattoo. Maana sababu zangu zilikua wala sio nzito ila yako ina maana sana.Aina maana achana nayo. Sisi wa hospital huwa tuna fundishwa kuwaacha blood donors wenye tattoos. Kwakuwa hawana maadili.
Wa kike ama?Hakuna shida namtuma mtu anichukulie
Siwezi kuchora Tattoo na Siwezi kumdate mtu mwenye Tattoo ingawa siwahukumu waliochora sababu kila mtu na pendekezo lake, ila nina marafiki wengi sana wana Tattoo na wapo cool sababu kila mchora Tattoo lazima awe na maana nayo.Lakini yeye hana tatoo na hawezi kuchora tatoo= hayo maelezo yana maana kubwa sana kama ukiamua kudadisi kwa kina. Binafsi mwanamke hata awe mtembo / mzuri kiasi gani akishakuwa ana tatoo siwezi mfuck ( usiniulize kwanini)
Jichoree hizohizo piko mama anguMm binafsi nazipenda lakini jinsi zinavyo tafsiriwa ndio Mmmmmh [emoji849]! Hata nikimuona mtu kachora halafu si msanii naona mtu aliedata balaa, ila kiukweli nazipenda
bhasi mwenyewe naishia kujichora piko.
Mh mbona unachagua hivyo basi nimeghaili sitakii situmi mtuWa kike ama?
Ni kweli kila mtu na maisha yake na maamuzi yake binafsiSiwezi kuchora Tattoo na Siwezi kumdate mtu mwenye Tattoo ingawa siwahukumu waliochora sababu kila mtu na pendekezo lake, ila nina marafiki wengi sana wana Tattoo na wapo cool sababu kila mchora Tattoo lazima awe na maana nayo.
Hapana sijakwazika ila sikuweka uzi kutaka kushauriwa mkuu maana naona wengi wanashauri wakati nilitaka kujua mawazo yao juu ya wanawake wenye tattoo ila mmepokea kivingine kuwa nataka kuchora tattooSi ndio nikasema neno langu sio sheria, pole kama umekwazika kwa maneno yangu ndugu