Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Tatizo ni wanaochora na wanachorwa wapi. Huwezi kuchora tatoo sehemu zako zinazotakiwa zisitiriwe halafu ukapata heshima.

Tatizo lingine kwamba watu wengi wanaokaa uchi, picha za ngono wana tatoo hivyo imejenga picha kwamba ni ya watu wenye tabia chafu.

Pengine ingekuwa inachorwa na waheshimiwa viongozi , au viongozi wa dini ingebaki tuu kama urembo.
 
Aina maana achana nayo. Sisi wa hospital huwa tuna fundishwa kuwaacha blood donors wenye tattoos. Kwakuwa hawana maadili.
At least wewe umenipa sababu zaidi ya maumivu ya kwanini nisichore tattoo. Maana sababu zangu zilikua wala sio nzito ila yako ina maana sana.
Imagin3 nishindwe kumtolea mwanangu damu kisa nina tattoo aiseee.
 
Lakini yeye hana tatoo na hawezi kuchora tatoo= hayo maelezo yana maana kubwa sana kama ukiamua kudadisi kwa kina. Binafsi mwanamke hata awe mtembo / mzuri kiasi gani akishakuwa ana tatoo siwezi mfuck ( usiniulize kwanini)
Siwezi kuchora Tattoo na Siwezi kumdate mtu mwenye Tattoo ingawa siwahukumu waliochora sababu kila mtu na pendekezo lake, ila nina marafiki wengi sana wana Tattoo na wapo cool sababu kila mchora Tattoo lazima awe na maana nayo.
 
Ni kweli kila mtu na maisha yake na maamuzi yake binafsi
 
Si ndio nikasema neno langu sio sheria, pole kama umekwazika kwa maneno yangu ndugu
Hapana sijakwazika ila sikuweka uzi kutaka kushauriwa mkuu maana naona wengi wanashauri wakati nilitaka kujua mawazo yao juu ya wanawake wenye tattoo ila mmepokea kivingine kuwa nataka kuchora tattoo
 
Back
Top Bottom