Nyeusi hazionekani jamani.
Hebu taratibu kwanza mbona wake wadogo huwa mna mbwembwe hivyo lakini[emoji134][emoji134][emoji134]
Yule kichaa hachelewi kutaka wote tuchore.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu mileleIla katatoo ka kiunoni huwa kananoga, basi tu yaani.
Lazima wanaliwa. Mtu anakuchoraje anakushika shika kidudu usimpe weeeee.Mwanamke mwenye tatuu sehem nyeti namchukulia ka mpigwaji tu
Unachorwaje kwenye tako au kiuno
Enzi zile kuna daladala za Kariakoo - Mbezi...! Nilipanda daladala Msimbazi nikitaka kushuka Magomeni Kagera! Bahati mby kuna mlimbwende aliweka "chachandu" nje nje! Kilichofata nlijikuta nipo Mbezi na sikumbuki kama tulipita Ubungo na Kimara!Weeeeh sema kweli
Wavaa shanga oyeeee
Usifananishe shanga na tattoo wewe. Shanga ni samsing elsi
Usiniangushe mkuuHahahahaaa.
Sawa
Mngh!Ebu chora auntie halafu unitumie picha
Ni kweliLol, tunasemaga 'mitazamo gongana'
Nadhani suala la Tattoo bado lina fikra dhaifu miongoni mwa wengi sio tu Africa (Tanzania) bali hata duniani... labda na vile wachora tattoo wanavyojiweka sababu mtu kachora Tattoo ya tako still atataka watu waione,
Najua Tattoo inapendeza ikiwa na maana kwa muhusika.
NakaziaWeeeeh sema kweli
Wavaa shanga oyeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chizi wwEnzi zile kuna daladala za Kariakoo - Mbezi...! Nilipanda daladala Msimbazi nikitaka kushuka Magomeni Kagera! Bahati mby kuna mlimbwende aliweka "chachandu" nje nje! Kilichofata nlijikuta nipo Mbezi na sikumbuki kama tulipita Ubungo na Kimara!
Nini we mzeeMngh!
Ndio ndio shangaa oyeee watoto hawataelewaNakazia
Mm apa jamaniafu wewe!
Jamii my foot, ukiangalia jamii hii dunia utaishi kweli[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu milele
Ebuuu ukooooo, huo uzeee umeuona ulipo!Nini we mzee