Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Wake wadogo huwa tunajiongezaga.
Bby wakati wa doggie anaona pale Kaboom lazima huba liongezeke [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nyeusi hazionekani jamani.

Hebu taratibu kwanza mbona wake wadogo huwa mna mbwembwe hivyo lakini[emoji134][emoji134][emoji134]
Yule kichaa hachelewi kutaka wote tuchore.
 
Ila katatoo ka kiunoni huwa kananoga, basi tu yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu milele
 
Mwanamke mwenye tatuu sehem nyeti namchukulia ka mpigwaji tu
Unachorwaje kwenye tako au kiuno
Lazima wanaliwa. Mtu anakuchoraje anakushika shika kidudu usimpe weeeee.
Au nao wanakuaga kama madaktari wanavyoziona wanaona kawaida tu hawashtuki
 
Weeeeh sema kweli

Wavaa shanga oyeeee
Enzi zile kuna daladala za Kariakoo - Mbezi...! Nilipanda daladala Msimbazi nikitaka kushuka Magomeni Kagera! Bahati mby kuna mlimbwende aliweka "chachandu" nje nje! Kilichofata nlijikuta nipo Mbezi na sikumbuki kama tulipita Ubungo na Kimara!
 
Lol, tunasemaga 'mitazamo gongana'

Nadhani suala la Tattoo bado lina fikra dhaifu miongoni mwa wengi sio tu Africa (Tanzania) bali hata duniani... labda na vile wachora tattoo wanavyojiweka sababu mtu kachora Tattoo ya tako still atataka watu waione,
Najua Tattoo inapendeza ikiwa na maana kwa muhusika.
Ni kweli
 
Enzi zile kuna daladala za Kariakoo - Mbezi...! Nilipanda daladala Msimbazi nikitaka kushuka Magomeni Kagera! Bahati mby kuna mlimbwende aliweka "chachandu" nje nje! Kilichofata nlijikuta nipo Mbezi na sikumbuki kama tulipita Ubungo na Kimara!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chizi ww
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wengi wanaogopa jamii inavyowafikiria ila mimi hiyo haiwezi kuwa sababu yangu milele
Jamii my foot, ukiangalia jamii hii dunia utaishi kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom