Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.

Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.

Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.

Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
 
you and them are both thots
 
Rafiki zako wanazo tattoos sehemu gani za mwili na wao kuzifahamu.

Kitu kimoja ambaxhonakina dada/wanawake wanatakiwa kujifunza ni kuwa....... Wanaume wachache sana wanaopenda mwanamke mwenye tatoo na wakampenda kwa dhati. Mitazamo iliyopo mingi simmizuri(ingawa haina maana ndiyo uhalisia).

Kama wanapenda tatoo wao kwanini wasijichore hadi watake yako ya kiunoni?
 
dah me mwanamke ambae anachora tatoo huwa namuona malaya kwani kuna jamaa yangu ni mchora tatoo kila siku anawatomba wa dada hasa hao wanaotaka kuchotwa tatoo za kiuno na sehemu nyingine za siri maana akishikwa tu imo kifuatacho itv kinajulikana
 
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.

Usijidanganye, that is just sex fantasy. Na siyo mapenzi.

Kati ya ujana ambao nashukuru Mungu aliniepusha nao ni Tattoo, naomba kila mara wanangu pia Mungu awape mwongozo huo.
 
1. Unajipiga tatoo wapi Usoni?

2. Unajipiga too kumfurahisha nani? Kivipi

3. Walisema wanapenda tatoo za aina gani?

4. Nikweli wanaume tunaakili ya kupenda hayo makitu kwa mfanano upi ?
1. Ikitokea nikapiga nitaweka kifuani
2. Napenda tu tattoo naona ni urembo japo siwezi kuchora
3. Hawakusema kwa kweli ila wanapenda tu tattoo
 
Rafiki zako wanazo tattoos sehemu gani za mwili na wao kuzifahamu.

Kitu kimoja ambaxhonakina dada/wanawake wanatakiwa kujifunza ni kuwa....... Wanaume wachache sana wanaopenda mwanamke mwenye tatoo na wakampenda kwa dhati. Mitazamo iliyopo mingi simmizuri(ingawa haina maana ndiyo uhalisia).

Kama wanapenda tatoo wao kwanini wasijichore hadi watake yako ya kiunoni?
Wanazo zinaonekana. Miguuni, mikononi, kwenye paja. Ambazo zinaonekana. Wawili ndo nawajua wanazo kiunoni tena mmoja alichora kiutoto utoto ile shule mwingine alichora wakati tuko chuo
 
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.

Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.

Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.

Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
Wamekuona we chizi wanataka kufanya jaribio ili kupata majibu...
 
Back
Top Bottom