Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Wakati mwingine najiona Nina matatizo. Siku Moja ikiwa na jamaa zangu tukila yombe, mlevi mwenza akajifanya hamnazo. Nina tabia ya kutopenda upuuzi niwe nimelewa au kavukavu naweza chapa MTU.
Wkati flan nilimuomba jiran kwenye daladala anipishe akakataa, nikamkamata shingo na kumtupia Siri ya nyuma.
Nilijilaumu baadae. Actually ni tabia yangu na sipendi.
Wiki yajana nilifanikiwa Kuonana jamaa niliyemchapa Moja ya USO. Nilimuomba radhi akataka nimnunulie bia anisamehe nikataka kumchapa Tena. Hivi Mimi Nina matatizo Gani?