Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Yale yale tu....we nae..Ipo siku utayakanyaga,hao unaowachapa ni wanaume wavaa vikaptula visendo vya kike na soksi
Halafu unajitapa umepiga mtu
Yaani hapa nilipo ninavyokutamani,
Njoo huku mbezi tangi bovu,ukifika ni PM nakuelekeza nilipo.na Leo sinywi konyagi mwendo wa bia tu