Nilikuwa nakata bia na majamaa, mmoja akaleta za kitoto nikamchapa

Yale yale tu....we nae..
 
Nunua bunduki mikono utakua unaumia bure tu.
 
Kwakweli mimi huwa sipendi kuona mtu anaonewa, huwa nabebaga kesi za watu,Sababu nilikuwa sina kaka utotoni wa kunitetea, nikajenga akili ya kuwa wadogo zangu hawatapitia hili tatizo, na hapo sihitaji sijui karate wala dojo, nitumie ngumi niumuze mikono yangu ya nini , mimi chochote ni silaha...halafu nione unabinukabinuka vimateke vya muvi, nakusawazisha kinoma noma..
 
"No matter how good you think you are, there is always someone better than you"
 
Hapa ndo wanajulikana wanaume wenye stress kama zote
 
Ningekuwepo kwenye hiyo daladala ningekukula tako live. Pumbaavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…