eldamaty_persier
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 285
Habari wanaJF,
Natumaini wote humu mko poa.Leo nataka kusikia maoni yenu kuhusu hili;ni jambo gani ulilokuwa unaona la ajabu au sio la kawaida na huwezi kulifanya hapo awali ila Sasa unaona ni kawaida au hata wewe mwenyewe unalifanya.
Kwa upande wangu nilikuwa nikisikia mtu ana degree au kasoma Hadi chuo kikuu na Hana ajira nilikuwa naona ajabu ila sasa naona kawaida.
Nilikuwa nikiambiwa kitu fulani Cha kawaida Kuna bei ya juu naona ajabu na siwezi kununua kwa mfano lotion kuuzwa 40k au sahani moja ya chakula kuuzwa 32k siwezi kununua ila sasa hivi nachukulia kawaida.Vipi kuhusu maoni yako mwanaJF?