Nilikuwa naliona jambo la ajabu ila Sasa hivi naona kawaida

Nilikuwa naliona jambo la ajabu ila Sasa hivi naona kawaida

😂😂😂! Alitepata sio kwamba ni mjanja au aliyekosa sio kwamba ni mzembe au mjinga kikubwa kuridhika na wanaopewa kuthamini.
 
Wakati nipo form 6, niliambiwa mtu mwenye PhD haruhusiwi kupanda dala dala, ni marufuku na ni aibu,...
Daah kumbe daladala zinapandwa tuu...inategemea na nyakati😂
 
Wadada walikuwa wakisema wanaume wote mbwa, nilikuwa nawaambia wangu mumtoe…!!! Lakini ss hivi naona sawa, sio mbwa tyuu huyu ni zaidi ya mbwa tena wamjumlishe na wale wengine na wampe uwenyekiti ana-deserve kabisaa 😂😂😂😂 jokes bana
 
Kuna mbwa Koko, German shepherd, puppy etc. Mtafutie category yake🤌😂😂
 
nilikuwa naonaga wale wanaolipia JF kuwa Platnum Member, Gold Member, Bronze Member ni ma-don/Mazimba/Mafogo balaa
kumbe kawaida tu
 
Binafsi nilikuwa nikifikir Watu wanaoteuliwa kushika nyadhifa Kama mkuu wa mkoa au Wilaya ni watu wakipekee Sana na wenye akili nyingi.

Leo hii nina mtazamo tofauti kabisa
 
Niliona kuwa kutongozwa ni jambo la ajabu mno hasa mwanaume .
Ila barmaid Irene alipovunja ukimya kuwa ananipenda sana hasa akiliona pengo langu mdomoni nikaona kawaida sana .
Sasa hivi wananitongoza wengi mpaka mwingine amesema eti anapenda ninavyotembea kama nabiringika
 
Back
Top Bottom