eldamaty_persier
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 118
- 285
upoNasoma comments tyuuh
Nilipokuwa mdogo nikisia neno bhangi nilikuwa naogopa mwili una sisimka ila sasa hivi naona kawaida japo situmii [emoji1]
Sasa hivi nimekuwa ninaona watu wanatumia na wakiwa mbele za watu ni wenye heshima na mamlakaweeee ilibaki kidog tu ufunguke[emoji23]
Sasa hivi nimekuwa ninaona watu wanatumia na wakiwa mbele za watu ni wenye heshima na mamlaka
KutomberHabari wanaJF,
Natumaini wote humu mko poa.Leo nataka kusikia maoni yenu kuhusu hili;ni jambo gani ulilokuwa unaona la ajabu au sio la kawaida na huwezi kulifanya hapo awali ila Sasa unaona ni kawaida au hata wewe mwenyewe unalifanya.
Kwa upande wangu nilikuwa nikisikia mtu ana degree au kasoma Hadi chuo kikuu na Hana ajira nilikuwa naona ajabu ila sasa naona kawaida.
Nilikuwa nikiambiwa kitu fulani Cha kawaida Kuna bei ya juu naona ajabu na siwezi kununua kwa mfano lotion kuuzwa 40k au sahani moja ya chakula kuuzwa 32k siwezi kununua ila sasa hivi nachukulia kawaida.Vipi kuhusu maoni yako mwanaJF?
Unaona sasa πmmea ulio barikiwa,, naupenda
Unaona sasa [emoji1]
ππsamaleko[emoji23]
[emoji1][emoji38]
πββοΈπββοΈπββοΈhaya tusichart kweny uzi wa watu,, twende kule nikakuonesh picha mpya ya mkesha wa pasaka[emoji23][emoji23][emoji23]