Nilikuwa namchulia poa Sana Burna boy

Anybody ndio my favourite song from him
 
"Ye" ni bonge 1 la truck aseeeh,
Burna boy ile sauti tyuuuh mie hoi lol
 
Nyimbo zake nazopenda ni Gbona, On the low, Anybody..Tamu sana hizo nyimbo
 
kwani kuna ngoma ya Burna boy inaizidi Ye?
ikifuatiwa na "When the gbedu de enter body"(Gbona)
Nimeanza kumjua jamaa alipotoa nyimbo yake ya Yawa Dey,ila nyimbo yangu kali kutoka kwake ni "YE".
"Ye" ni noumer na nusuuuuuuh.
"Ye" ni bonge 1 la truck aseeeh,
Burna boy ile sauti tyuuuh mie hoi lol
Wengi wanasema "YE" ndio ngoma kali kwa BurnaBoy

By the way "ON THE LOW" ndio ngoma yake kali ya muda wote...Ingia Youtube utanielewa
 
PantonKing ni neno jingine sema watu hawajamuwakia tu. Binafsi sina hata ngoma moja ya Burna Boy lakini huyu mwamba kila nikisikia ngoma yake lazima nidowload

Rastaman patoranking anakupa vionjo vya raggae na dancehall wakati mmoja, jamaa fundi hatari unaweza kupata taste za akina marley, lucky na shabalanks kwa wakati mmoja, BurnaBoy kinachombeba ni utunzi wenye ujumbe maridhawa yaani mwamba anaimba olds kwa mfumo wa kisasa mixer na vionjo vya akina fella kuti basi ndio katushika hivo,
 
Kama nawewe unaipenda Ye na Burna boy basi kuanzia leo mimi sio shabiki tena wa burna boy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Dunia ina comedy wallah,
Sas wee usipokua shabiki wa Burna boy yey au me tunapungukiwa nn?
Au strems za burna zinapungua?
Narudia kucheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fact
 
Way too big ni boonge moja wimbo
 
Burna boy ndo my favorite artist of all times.
Nimesikiliza albums zake 3 za mwisho.
Zote ni kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…