Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha masiala labda uniambie yupo kwenye top 5 lakini si number 1
"Ye" ni noumer na nusuuuuuuh.Anybody
Ye
Patoranking n mqareeeh, ila now Burna boy.Binafsi naelewaga magoma ya Patoranking
Kama nawewe unaipenda Ye na Burna boy basi kuanzia leo mimi sio shabiki tena wa burna boy"Ye" ni bonge 1 la truck aseeeh,
Burna boy ile sauti tyuuuh mie hoi lol
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama nawewe unaipenda Ye na Burna boy basi kuanzia leo mimi sio shabiki tena wa burna boy
Sorry hiv wewe Ni me au ke?Patoranking n mqareeeh, ila now Burna boy.
kwani kuna ngoma ya Burna boy inaizidi Ye?
ikifuatiwa na "When the gbedu de enter body"(Gbona)
Nimeanza kumjua jamaa alipotoa nyimbo yake ya Yawa Dey,ila nyimbo yangu kali kutoka kwake ni "YE".
"Ye" ni noumer na nusuuuuuuh.
Wengi wanasema "YE" ndio ngoma kali kwa BurnaBoy"Ye" ni bonge 1 la truck aseeeh,
Burna boy ile sauti tyuuuh mie hoi lol
PantonKing ni neno jingine sema watu hawajamuwakia tu. Binafsi sina hata ngoma moja ya Burna Boy lakini huyu mwamba kila nikisikia ngoma yake lazima nidowload
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Dunia ina comedy wallah,Kama nawewe unaipenda Ye na Burna boy basi kuanzia leo mimi sio shabiki tena wa burna boy
1 kati ya hizo.Sorry hiv wewe Ni me au ke?
FactRastaman patoranking anakupa vionjo vya raggae na dancehall wakati mmoja, jamaa fundi hatari unaweza kupata taste za akina marley, lucky na shabalanks kwa wakati mmoja, BurnaBoy kinachombeba ni utunzi wenye ujumbe maridhawa yaani mwamba anaimba olds kwa mfumo wa kisasa mixer na vionjo vya akina fella kuti basi ndio katushika hivo,
Way too big ni boonge moja wimboBinafsi sikuwahi kusikiliza wimbo hata 1 ya Burna boy so baada yakuona jamaaa anazungumziwa Sana na Mafanikio anayopata kwenye mziki wake Ikabidi Jana nisikilize wimbo wake hata 1 ilinijidhihilishe jamaa kweli anajua?
Nikaanza na wimbo " Way too big" bonge moja ya track na nyingine nyingi nikagundua jamaa ameibadili game ya Nigeria music kiasi kikubwa ana ubunifu mzuri wa nyimbo zake anastahili kabisa kuwa best male in Africa
Kwani Kuna ubaya gani kutaja jinsia yako mbona me nasema kabisa Ni me1 kati ya hizo.