Nilikuwa naogopa kumtongoza; jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

Nilikuwa naogopa kumtongoza; jana kumwambia akasema short time 5000 kulala 20000

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya Temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayokaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia nikamuonesha njia mpaka kwa huyo mtu.

Sasa baada ya kuchukua hiyo namba nikawa kila siku namsalimia tu naogopa kumwambia ukweli kutokana na mwonekano wake sikutaka kwenda pupa maana simba mwenda pole ndie mla nyama. Jana sasa nikasema Poteleapote mimi nalipuka Leo namwambia ukweli wangu.

Nikampigia kwa namba yangu ya Voda (hii namba yeye hana anayo namba ya tigo tu), nikaona yupo kwenye makelele sana nikajua kwakuwa ni sikukuu labda kapata order. [emoji116]

Nikamwambia leo mimi nakuhitaji nikasikia anasema short time 5000 kulala 20000 lahaula nilichoka ghafla mpaka mzee Osama akalala, nikasema moyoni Asante Mungu umenionyesha ukweli kwa kile kilichojificha.
 
Sasa mkuu ulimpigia sio kwa kumtongoza ila kwa kumuhitaji na yeye akakupa bei yake, hapo tatizo nini au ulijua class flani kumbe ni wa kwetu sudan 😁😁


Pole lakini
 
Bora mmalizane yaishe sio mara ya wigi, ya saloon, mara pedicure, mara gesi imeisha, mara mama anaumwa....mpe hiyo efulu Tano Kila wingu likitanda unamuita yanaishia Hapo no mahusiano mengine. Mnapata bahati mnachezea
Hapana huyu anaonekana anajiuza
 
Mdada anayesema ukweli ni mzuri sana japheeeee,yaani kiufupi ametisha sana, kuliko mdada anayekuzungusha halafu kumbe anauza mbususu[emoji849][emoji849]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
 
Mjini kawaida hiyo..mimi huku mtaan kuna dem nikawa nawaza namuingiaje..siku nimeomba namba akanipa fasta.
Namwambia tuonane, anauliza utanipa hela au unataka niwe mpenzi wako 😄
 
Mjini kawaida hiyo..mimi huku mtaan kuna dem nikawa nawaza namuingiaje..siku nimeomba namba akanipa fasta.
Namwambia tuonane, anauliza utanipa hela au unataka niwe mpenzi wako [emoji1]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Duh [emoji1787] [emoji1787]
 
Back
Top Bottom