Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

mimi nilikuwa na wa kwangu kila wikendi alikuwa lazima aniage anaenda kwa wazazi wake. siku moja nikaamua kwenda kwa wazazi wake by surprise nikamkuta yuko na ex wake wanakula goodtime nilichoka.

pole kwa yaliyokukuta. mapenzi haya zengwe sana
 
na nyie wanaume mmezidi ubahili na ubabe.wanaume wengine hata kumnunulia mpenzi wako hata zawadi huwezi, kila kitu ubabe, hujui kubembeleza , kila kitu usikilizwe wewe agrrrr ngoja tu mdanganywe bwana.ila mapenzi yanauma jaman bora mie nimeamua moja kumpenda mungu.mume wangu yesu tu basi.
 
"Your dreaming "
 

Umevurugwa ukavurugika..
 

unaweza kuwa na mwenza na ukampenda na kmtumikia Mungu pia.
 
Ila ulikosea ungempigia pale pale alipokwambia niko room najisikia vibaya. Ungemwambia well msalimie huyo uloingia nae kwenye tax. Afu ukate simu.
 
Wanawake hata uwape nini, lakini hawaridhiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…