Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila ulikosea ungempigia pale pale alipokwambia niko room najisikia vibaya. Ungemwambia well msalimie huyo uloingia nae kwenye tax. Afu ukate simu.
Umeipenda au imekugusa?
Samahanini jamani kwa kupotea kwa mud a,nilipata safari ya kijijini,hakuna network,nawezaendelea???
Yaan nimegundua mara nyingi mmoja akiwa mwaminifu mwingine lazima awe msaliti.....yaan...mmh hili ni janga at.
sijui huwa inapangwa hivyo....
djaaaaa...ni kisanga
Pole endelea basi maana umeishia patamu kweli au njoo unihadithie mimi PM mlango uko waziSamahanini jamani kwa kupotea kwa mud a,nilipata safari ya kijijini,hakuna network,nawezaendelea???
Pole endelea basi maana umeishia patamu kweli au njoo unihadithie mimi PM mlango uko waziSamahanini jamani kwa kupotea kwa mud a,nilipata safari ya kijijini,hakuna network,nawezaendelea???
Samahanini jamani kwa kupotea kwa mud a,nilipata safari ya kijijini,hakuna network,nawezaendelea???
pole mkuu ila kama nakupata pata hivi samahani lakiniYani pole sana kaka,mimi kisa changu kimebaki historia tuu, kwa sasa nimeamua kufanya mambo yangu tuu wanawake watatuua bure. Hakuna kuliko andikwa kuwa kufa bila kuoa ni dhambi.