Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

Ww ni jinsia gani kwani maana unasema ulimtumia friend request jamaa aliyekuwa mpenzi wako then ukampigia simu demu wako!!!!,Uongo ukizidi unaboa!!!
 
LOL! nimeshawasili ngoja nisomee, lakini muanzisha uzi kaishia katikati yasije yakawa yale yale ya chai chungu au yule aliyekuwa na ubao hadi leo hajarudi lol! hahahahaha....Nimeshaelewa kwanini umeniita mtaa huu 🙂🙂

BAK njoo usomeeeee
 
Samahanini ndugu zangu,kwa dharula nyingi kiasi cha kushindwa kumalizia kisa changu,naomba niendeleee...
Baada ya mpnz wangu kunambia kuwa alikuwa anaumwa tumbo,nlikata simu nikalala. .
Asubuhi nilipoamka tu,cha kwanza niliwasha PC yangu,nikaingia fb,nikaingiza jina la jamaa aliyekuwa mpnz wangu,nikamuona na kumtumia friend request,aka accept,nikaanza kuchart na jamaa,
Baada ya kuwasiliana na jamaa kwa muda tulani,nilimuomba namba zake tukaanza kuwasiliana.
Baada ya siku kadhaa nikamwambia jamaa kuhusiana na mahusiano baina yetu watatu,jamaa alionyesha kukasirika sana,akadai amekuwa ktk mahusiano na mpnz wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja,tukakubaliana kumuumbua huyu binti...
Nilimpigia simu mpnz wangu,nikamuomba aje nyumbani,muda mfupi baadaye alifika.
Alipofika nilijitahidi sana kuficha hasira zangu,nilianza kuzungumza naye kwa upole kabisa,nlianza kwa kumuuliza swali,
Mm:Mary mpnz wangu,kwa ukweli kabisa kutoka moyoni,naomba niambie una wapenzi wangapi?
Mdada:jamani hivi kweli wewe ni wa kuniuliza swali kama hilo kweli!!!?(machozi yakaanza kumtoka),kwa hiyo unaniona mm malaya???

huu muendelezo wa story yako ungeiweka kwenye thread uliyoanzisha mwanzo ilikuweka watu sawa,sasa umeanzisha uzi mwingne unaonzia katikati halafu na wenyewe haujamaliza inamaana kuna mwendelezo! Kwa akiri hii ya kufanya mambo nusunusu lazima tu UCHAPIWE.
 
Jamaaa yani umeweka kipande tena ..wewe unatunga hadithi au halafu mkuu somo la ufupisho ujasoma au?
 
Back
Top Bottom