Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

kumbe wewe umezoea nusu nusu ndo maana wanakuchapia!!!!!!:confused2::confused2:
 
Mapenzi bana hawa wanwake wanazingua

na wakina baba mnafanyaje???

in short sikuhiz hakuna mapenz na huu utandawaz kutongozana kumekuwa ni kirahisi kabisa yaani lainiiii mtu anatongoza wanapanga mpaka bei wanapigana dudu fasta
hata unakuta hawajawah tiana machoni.....hata siku moja
 
mimi nilikuwa na wa kwangu kila wikendi alikuwa lazima aniage anaenda kwa wazazi wake. siku moja nikaamua kwenda kwa wazazi wake by surprise nikamkuta yuko na ex wake wanakula goodtime nilichoka.

kwa hapo wewe ndo ulikuwa x hahahahaha
 

nimecheka vibaya sana

in jk voice
 
Reactions: BAK

Kaka sijui nikwambiaje lakini pole hizo ni changamoto tuh katika mahusiano hivyo pigania penzi lako
 
Kaka sijui nikwambiaje lakini pole hizo ni changamoto tuh katika mahusiano hivyo pigania penzi lako

Yaan nimegundua mara nyingi mmoja akiwa mwaminifu mwingine lazima awe msaliti.....yaan...mmh hili ni janga at.
 
Hahahahahahahaahhh hili jukwaa limevuka level za juu kabisaa. Jamaaa umenichekesha sana. Wewe hadi umekumbuka kupata dinner? Pole sana mkuu ndo dunia ilivyo piga moyo konde.
 
hayo ni malipo nawe kama ukikubali kulala na yule mzaz mwenzio kwann usimuoe usipo muoa utaumia always
 
Da pole sana mm toka nilivotedwa yaani huuu moyo wangu umekuwa wa kiboya sana sku izi hata nikiwa na demu nikijua si muamnifu wala time sina sjui nimfatilie tena naweza hata kuendelea nae huku nakula vitamu hata habar sina ikifika siku ya siku najisepesha
 
Mm ndo maana sitaki kugandana na demu..nikipiga tu baasi tushamalizana...sitaki mambo ya bby bby ....
 

Nimecheka tu uliponiambia umegeuka padre ghafla hahaha mapenz yametutesa wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…