Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

Dinner gan ya uhongo kma hii mbka mida hii yan ni bora ugongewe mbka ufe
 
Ila ulikosea ungempigia pale pale alipokwambia niko room najisikia vibaya. Ungemwambia well msalimie huyo uloingia nae kwenye tax. Afu ukate simu.

Hiyo ndio ilikuwa dawa yake hata game isingemnogea!
 
Samahanini jamani kwa kupotea kwa mud a,nilipata safari ya kijijini,hakuna network,nawezaendelea???
 
Nilishasahau hizo mambo aiseee... cz sikuhiz siingiagi mzima mzma, nusu nipo ndn nusu nje. ht likitokea la kutokea bado ninauwezo wa kuendelea kumove on wth ma lyf bila shida. my happiness dozn't depend on anyone other thn myslf
 
Yaan nimegundua mara nyingi mmoja akiwa mwaminifu mwingine lazima awe msaliti.....yaan...mmh hili ni janga at.

sijui huwa inapangwa hivyo....

djaaaaa...ni kisanga
 
sijui huwa inapangwa hivyo....

djaaaaa...ni kisanga

pia ex-pel
hakuna cha mwaminifu hapa bali nidham ya woga. kwani ulimpataje? vp ulichana kalatasi ww au ulikuta walishajaribia wengine? unajua ni wangapi?
 
Yani pole sana kaka,mimi kisa changu kimebaki historia tuu, kwa sasa nimeamua kufanya mambo yangu tuu wanawake watatuua bure. Hakuna kuliko andikwa kuwa kufa bila kuoa ni dhambi.
 
Yani pole sana kaka,mimi kisa changu kimebaki historia tuu, kwa sasa nimeamua kufanya mambo yangu tuu wanawake watatuua bure. Hakuna kuliko andikwa kuwa kufa bila kuoa ni dhambi.
pole mkuu ila kama nakupata pata hivi samahani lakini
 
Pole, hiyo dinner haujala bado?


Haya msisahau kuwapigia kura wanaopeperusha nchi yetu kimataifa


Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ilj ngia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
 
Samahanini ndugu zangu,kwa dharula nyingi kiasi cha kushindwa kumalizia kisa changu,naomba niendeleee...
Baada ya mpnz wangu kunambia kuwa alikuwa anaumwa tumbo,nlikata simu nikalala. .
Asubuhi nilipoamka tu,cha kwanza niliwasha PC yangu,nikaingia fb,nikaingiza jina la jamaa aliyekuwa mpnz wangu,nikamuona na kumtumia friend request,aka accept,nikaanza kuchart na jamaa,
Baada ya kuwasiliana na jamaa kwa muda tulani,nilimuomba namba zake tukaanza kuwasiliana.
Baada ya siku kadhaa nikamwambia jamaa kuhusiana na mahusiano baina yetu watatu,jamaa alionyesha kukasirika sana,akadai amekuwa ktk mahusiano na mpnz wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja,tukakubaliana kumuumbua huyu binti...
Nilimpigia simu mpnz wangu,nikamuomba aje nyumbani,muda mfupi baadaye alifika.
Alipofika nilijitahidi sana kuficha hasira zangu,nilianza kuzungumza naye kwa upole kabisa,nlianza kwa kumuuliza swali,
Mm:Mary mpnz wangu,kwa ukweli kabisa kutoka moyoni,naomba niambie una wapenzi wangapi?
Mdada:jamani hivi kweli wewe ni wa kuniuliza swali kama hilo kweli!!!?(machozi yakaanza kumtoka),kwa hiyo unaniona mm malaya???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…