Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

Ww ni jinsia gani kwani maana unasema ulimtumia friend request jamaa aliyekuwa mpenzi wako then ukampigia simu demu wako!!!!,Uongo ukizidi unaboa!!!
 
LOL! nimeshawasili ngoja nisomee, lakini muanzisha uzi kaishia katikati yasije yakawa yale yale ya chai chungu au yule aliyekuwa na ubao hadi leo hajarudi lol! hahahahaha....Nimeshaelewa kwanini umeniita mtaa huu 🙂🙂

BAK njoo usomeeeee
 

huu muendelezo wa story yako ungeiweka kwenye thread uliyoanzisha mwanzo ilikuweka watu sawa,sasa umeanzisha uzi mwingne unaonzia katikati halafu na wenyewe haujamaliza inamaana kuna mwendelezo! Kwa akiri hii ya kufanya mambo nusunusu lazima tu UCHAPIWE.
 
Jamaaa yani umeweka kipande tena ..wewe unatunga hadithi au halafu mkuu somo la ufupisho ujasoma au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…