Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hausadiki?Kuwa muaminifu katika kila jambo.Na inshallah,utapata barka!Poor, Poor , Poor, Poor, Pua, pua, Puwa , Puwa kabisaaa
Huu uzi bila picha tatu, yako ya Rafiki yako na Ya Nzigo (sijui ndio mzigo unajua mwenyewe) ni batili
Mkuki kwa nguruwe....!Wanaume mkiliwa wake zenu mnaumia!mnavokula watoto wa watu je![emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kila mtu na puaze.Kuna kaharufu katangawizi hapa na sukari kwa mbaliii.
Amiiiin,Kuna demu mwingine yalimtokea hayohayo akiwa chuo,ikabidi akaonane na kiongozi wake wa dini kwa ajili ya toba.Usiache hela,baadae utasahau na utaish poa tu
Kuna demu aliwah toa mimba,alipata shda sana kusahau tukio hilo,kila alkuwa akikumbuka taswira ya kila kichanga moyo unamuuma sana,ila mwsho wa sku ameshasahau na ana amani ya kutosha
Nataka toba staki uaduiToba ya kweli ni kwenda kutubu kwa huyo rafiki yako na umweleze huo mpango wako wa kumuachia hiyo Tshs 550,000.
Siwezi kurudia tena hata iwejeUmepata funzo jifunze na utulie sasa!
Kabisa keep it up!!Siwezi kurudia tena hata iweje
Mimi sikufumaniwa ila nilinusurika,huyo askari alikosea sana kumpa kichapo jamaa alitakiwa ampe kichapo huyo Malaya wao.Hahahaa yaani huu uzi umenikumbusha eti Kuna mtu alikua na mchepuko Sasa mchepuko ukamuambia una mimba huyo jamaa kahudumia mpaka kajifungua, Sasa Kama siku kadhaa zimepita kaenda kumuona mwanae anafika ndani anakutana na njemba nyingine askari imejaa tele Kama pishi la ubwabwa anaulizwa vipi,eti nimekuja kumuona mwanangu, mwanao yupi ?? Mdada anaulizwa anasema ye hamjui kadi ya clinic imeandikwa jina la yule askari akachezea kichapo halafu kalazwa ndani karudi kwa mke wake asubuhi sura haitamaniki, Sasa mke wake anatusimulia anacheka maana hakulala nyumbani alivyomuuliza kamjibu shombo,Ila baada ya kurudi na manundu anaeleza bila hata kuulizwa yupo tu ndani anakandwa na mke wake akiambiwa kwenda hospital eti anaona aibu Sasa nilivyosoma tu Neno kufumaniwa nimekumbuka[emoji1][emoji1] Bora wewe haukupigwa
Kwisha habari yake!!Halafu usikute huyo jamaa yupo humu na ndie atakuja kukupa ushauri mzuri..
[emoji23]
Ila umetoa details ambazo anaweza kujua kabisa yani Jana halafu kiasi 55 na ukweni mlienda wote code rahisi hizi!
π π π π π πPoor, Poor , Poor, Poor, Pua, pua, Puwa , Puwa kabisaaa
Huu uzi bila picha tatu, yako ya Rafiki yako na Ya Nzigo (sijui ndio mzigo unajua mwenyewe) ni batili
Wrong approach. Atatengeneza adui wa kudumu. Na hakuna adui mbaya kama yule ambae ni rafiki yako.. maana anakujua ndani nje.Toba ya kweli ni kwenda kutubu kwa huyo rafiki yako na umweleze huo mpango wako wa kumuachia hiyo Tshs 550,000.
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]Wrong approach. Atatengeneza adui wa kudumu. Na hakuna adui mbaya kama yule ambae ni rafiki yako.. maana anakujua ndani nje.
So best approach ni kuacha anachokifanya, ku cut ties ikiwezekana ahame kabisa.
Ohooooo!! Hayo yanatoshaMbona hujatueleza jinsi ulivyoanza mahusiano nae na jinsi ulivyotaka kufumaniwa
Rafiki yako sio ndugu wa mkeo/mumeo.Ndo maana hua siamini marafiki ona sasa hili dah.