Kaa kwa kutulia mkuu,, achana kabisa na huyo jamaa... Ila deni lako endelea kudai,, unasamehe vipi kifala hvo pesa...
Umalaya sio wa kila mtu,, wewe sio kwamba unajutia kula demu, but una mashaka na kukutwa that means yakitokea mazingira rafiki unaonekana bado utaendelea kula mke wa mshikaji wako kiazi wewe...
Nakushauri kaa mbali na mke wa ndugu yako,, kaa mbali sana kabla hayajakukuta makubwa,,, hio 550k ichukue tu coz kitendo cha kuisamehe kinaweza anza zua maswali mengi kwa jamaa ako...
Narudia tena,, Achana na wake za watu,,, Kwa usalama na afya ya marinda yako... Binadamu wameharibika sana siku hizi.