Nilikuwa natembea na mke wa mtu, nilinusurika kufumaniwa nikaamua kumuacha na kutubu ila nafsi yangu haina amani

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka,

Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya ndugu, hata wakati wa kupeleka mahari ukweni nilikuwemo kwenye msafara.

Baada ya kunusurika nikatubu na kuapa kamwe sitorudia tena, lakini pamoja na kutubu kote nafsi yangu haina amani kabisa najihisi mwenye hatia kila nikikumbuka, kibaya zaidi jamaa ananiamini sana mpaka mambo yake ya ndani huwa ananiambia

Mimi ni mshauri wake mkuu,nawaza nilipe faini pasipo yeye kujua ili niwe na amani, Kuna pesa namdai 550,000 aliahidi kunilipa tarehe 30 mwezi huu lakini jana kaja kujieleza hakufanikiwa kupata nisubiri mpaka 30 mwezi ujao,

Sasa mimi nataka hiyo pesa asinilipe nijitoze faini mwenyewe au kwa lugha nyingine nichangie mahari, naomba ushauri wenu wanaJF nipeni mbinu wanaJF nifanyeje ili yeye abaki na pesa na mimi nibaki na utulivu wa nafsi.
Fanya hivyo
 
1. Rafiki yako.

2. Mnaaminiana sana.

3. Kwenye msafara wa mahari ulikuwepo.

4. Mshauri wake wa karibu.

Huyo huyo UKAMLIA MKEWE kwa muda wote huo. Halafu mkiwa wote unajitwika sifa zote hapo juu.

Tukisema adui hatoki mbali huu ndiyo mfano halisi.

Hapo unajutia kwa muda tu, kuna nyakati utasahau na utajikuta unamla tena.

Na pia utawaunganisha na wa marafiki zako wengine na Wengine zaidi.

Kiufupi jomba we ni MNAFKI halafu huna utu hata kidogo.

Mambo kama haya ndiyo maana sipendi kuwa na marafiki wa kuaminiana hadi kwenye inner circle ya maisha yangu.

ADUI hatoki mbali. Usimuone mtu anakuchekea na kujifanya yupo karibu sana na wewe.
 
mkuu fanya juu chini umcheki DeepPond ili aongoze hii kamati ya mashauriano na suluhu. huyu hiz mambo amebobea anaweza akakusaidia
 
1. Rafiki yako.

2. Mnaaminiana sana.

3. Kwenye msafara wa mahari ulikuwepo.

4. Mshauri wake wa karibu.

Huyo huyo UKAMLIA MKEWE kwa muda wote huo. Halafu mkiwa wote unajitwika sifa zote hapo juu.

Tukisema adui hatoki mbali huu ndiyo mfano halisi.

Hapo unajutia kwa muda tu, kuna nyakati utasahau na utajikuta unamla tena.

Na pia utawaunganisha na wa marafiki zako wengine na Wengine zaidi.

Kiufupi jomba we ni MNAFKI halafu huna utu hata kidogo.

Mambo kama haya ndiyo maana sipendi kuwa na marafiki wa kuaminiana hadi kwenye inner circle ya maisha yangu.

ADUI hatoki mbali. Usimuone mtu anakuchekea na kujifanya yupo karibu sana na wewe.
adui hatokagi mbali mkuu yan hii ni fact halisi kabisaa
 
Utamla tena wewe lakini sio mimi,wewe endelea kuniona mnafiki tu.
 
Kaa kwa kutulia mkuu,, achana kabisa na huyo jamaa... Ila deni lako endelea kudai,, unasamehe vipi kifala hvo pesa...

Umalaya sio wa kila mtu,, wewe sio kwamba unajutia kula demu, but una mashaka na kukutwa that means yakitokea mazingira rafiki unaonekana bado utaendelea kula mke wa mshikaji wako kiazi wewe...

Nakushauri kaa mbali na mke wa ndugu yako,, kaa mbali sana kabla hayajakukuta makubwa,,, hio 550k ichukue tu coz kitendo cha kuisamehe kinaweza anza zua maswali mengi kwa jamaa ako...

Narudia tena,, Achana na wake za watu,,, Kwa usalama na afya ya marinda yako... Binadamu wameharibika sana siku hizi.
 
Njooni huku muone wanaume hawapendani

Hapana,, Wanapendana ni kuteleza tu..

Kichwa cha chini kikisimama,, kikubwa huwa hakifanyi kazi at that time.. But hata anachofanya huyu mwamba ni upendo tosha na majuto kwa alivomfanyia jamaa yake..

Relax.
 
Woi
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka,

Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya ndugu, hata wakati wa kupeleka mahari ukweni nilikuwemo kwenye msafara.

Baada ya kunusurika nikatubu na kuapa kamwe sitorudia tena, lakini pamoja na kutubu kote nafsi yangu haina amani kabisa najihisi mwenye hatia kila nikikumbuka, kibaya zaidi jamaa ananiamini sana mpaka mambo yake ya ndani huwa ananiambia

Mimi ni mshauri wake mkuu,nawaza nilipe faini pasipo yeye kujua ili niwe na amani, Kuna pesa namdai 550,000 aliahidi kunilipa tarehe 30 mwezi huu lakini jana kaja kujieleza hakufanikiwa kupata nisubiri mpaka 30 mwezi ujao,

Sasa mimi nataka hiyo pesa asinilipe nijitoze faini mwenyewe au kwa lugha nyingine nichangie mahari, naomba ushauri wenu wanaJF nipeni mbinu wanaJF nifanyeje ili yeye abaki na pesa na mimi nibaki na utulivu wa nafsi.
Mwenye nzigo ni mtu wako au " ntu wako"? tuanzie hapo kwanza.
 
Fanya hvyo mkuu hata mm Niko nakula mke wa mtu ingawa simjui bwna wake ila mwanmke ananipenda. Na pia anajitoa San kwangu nashhindwa nifanyaje mm ila sas naamua kumchana live kuwa amueshimu bwan wake

Mbaya Zaid nimemgongaga had kwake kbsa kwa jamaa sijapenda hyo tabia niliyofanya mm.
Nafanya namna nimwambie kuwa jamaa ake kapiga simu ananioji kuhusu uhusiano na yey na amaehaidi kunitafuta hvyo namkata wenge kuwa Kisha julikana kuwa anachepuka hvyo atulie tuli
 
Kaa kwa kutulia mkuu,, achana kabisa na huyo jamaa... Ila deni lako endelea kudai,, unasamehe vipi kifala hvo pesa...

Umalaya sio wa kila mtu,, wewe sio kwamba unajutia kula demu, but una mashaka na kukutwa that means yakitokea mazingira rafiki unaonekana bado utaendelea kula mke wa mshikaji wako kiazi wewe...

Nakushauri kaa mbali na mke wa ndugu yako,, kaa mbali sana kabla hayajakukuta makubwa,,, hio 550k ichukue tu coz kitendo cha kuisamehe kinaweza anza zua maswali mengi kwa jamaa ako...

Narudia tena,, Achana na wake za watu,,, Kwa usalama na afya ya marinda yako... Binadamu wameharibika sana siku hizi.
Sawa kiazi ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili,nakuhakikishia haitakuja kutokea tena nimeshakula kiapo.
 
Fanya hvyo mkuu hata mm Niko nakula mke wa mtu ingawa simjui bwna wake ila mwanmke ananipenda. Na pia anajitoa San kwangu nashhindwa nifanyaje mm ila sas naamua kumchana live kuwa amueshimu bwan wake

Mbaya Zaid nimemgongaga had kwake kbsa kwa jamaa sijapenda hyo tabia niliyofanya mm.
Nafanya namna nimwambie kuwa jamaa ake kapiga simu ananioji kuhusu uhusiano na yey na amaehaidi kunitafuta hvyo namkata wenge kuwa Kisha julikana kuwa anachepuka hvyo atulie tuli
Achana naye kabisa mkuu,acha mijanamke ipo mingi tu mtaani ,hawa wake za watu tuachane nao hata kama wanaigiza kutupenda sana,janja yao ni moja utasikia hoo Mume wangu hajui kunaniii kama wewe wizi mtupu.
 
wanaume bana

yaani hukuona mwanamke mwingine yyte zaidi ya huyo mke wa rafiki yako??

au ndo ulitumia pesa zako kumrubuni mke wa mwenzako
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka,

Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya ndugu, hata wakati wa kupeleka mahari ukweni nilikuwemo kwenye msafara.

Baada ya kunusurika nikatubu na kuapa kamwe sitorudia tena, lakini pamoja na kutubu kote nafsi yangu haina amani kabisa najihisi mwenye hatia kila nikikumbuka, kibaya zaidi jamaa ananiamini sana mpaka mambo yake ya ndani huwa ananiambia

Mimi ni mshauri wake mkuu,nawaza nilipe faini pasipo yeye kujua ili niwe na amani, Kuna pesa namdai 550,000 aliahidi kunilipa tarehe 30 mwezi huu lakini jana kaja kujieleza hakufanikiwa kupata nisubiri mpaka 30 mwezi ujao,

Sasa mimi nataka hiyo pesa asinilipe nijitoze faini mwenyewe au kwa lugha nyingine nichangie mahari, naomba ushauri wenu wanaJF nipeni mbinu wanaJF nifanyeje ili yeye abaki na pesa na mimi nibaki na utulivu wa nafsi.
Kumbe, blaza nashukuru sana na nakuja kukuchinja leo
 
Back
Top Bottom