- Thread starter
- #81
Karibu sana.Kumbe, blaza nashukuru sana na nakuja kukuchinja leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana.Kumbe, blaza nashukuru sana na nakuja kukuchinja leo
Unataka kuniambia wanawake hawatembei na waume wa rafiki zao?Sikutumia pesa nilishawishiwa na yeye mwenyewe,na mumewe ananizidi kipato hata Kama namdai 550,000wanaume bana
yaani hukuona mwanamke mwingine yyte zaidi ya huyo mke wa rafiki yako??
au ndo ulitumia pesa zako kumrubuni mke wa mwenzako
HaitatokeaAnza kwa kumueleza ulichofanya, kisha muombe msamaha.
Nimekupata vizuri mkuuNdugu yangu hapo yakupasa kufanya mambo matatu...
1. Jisamehe na jishukuru kwa kuweza kujitambua na kutambua unafanya kosa kubwa maana wapo wanaofukua wake za watu na hawajajaliwa neema kama wewe ya kujitambua.... watakuja kutambua siku wanafumaniwa na kupelekwa kwa baba au kufanyiwa mambo mengine ya fedheha...
2. Fanya hilo moyo unalokuambia ili kupata furaha ya moyo na faraja moyoni....
3. Endelea kuelimisha jamii ubaya wa kula wake za watu...
Asante
[emoji41]Sema we muoga sana
Cha mtu uliwa na mtu chuma tu huliwa na kutu
Ngumu sana hiiMuambie tu ukweli jamaa yako ili uwe na amani.
Kama wewe ni mshauri wake mkuu kwanini usimwambie ama kumshauri akupe shoo na mkewe ili nafsi yako itulie kuliko kukaa na wasiwasi siku zote?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka,
Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya ndugu, hata wakati wa kupeleka mahari ukweni nilikuwemo kwenye msafara.
Baada ya kunusurika nikatubu na kuapa kamwe sitorudia tena, lakini pamoja na kutubu kote nafsi yangu haina amani kabisa najihisi mwenye hatia kila nikikumbuka, kibaya zaidi jamaa ananiamini sana mpaka mambo yake ya ndani huwa ananiambia
Mimi ni mshauri wake mkuu,nawaza nilipe faini pasipo yeye kujua ili niwe na amani, Kuna pesa namdai 550,000 aliahidi kunilipa tarehe 30 mwezi huu lakini jana kaja kujieleza hakufanikiwa kupata nisubiri mpaka 30 mwezi ujao,
Sasa mimi nataka hiyo pesa asinilipe nijitoze faini mwenyewe au kwa lugha nyingine nichangie mahari, naomba ushauri wenu wanaJF nipeni mbinu wanaJF nifanyeje ili yeye abaki na pesa na mimi nibaki na utulivu wa nafsi.
Kuna wake za watu akiona hushawishiki wanavua mpaka nguo,kimbilia ukimbiliako ile picha haifutiki kichwani, mwisho wa siku utajikuta unaanza kumtafuta mwenyewe,omba sana Mungu yasikukute.Katika vitu nimeapa kutokuja kuvifanya ni kutembea na mke wa mtu
Vishawishi vipo ila ninajitahidi kuvikwepa
Rudia swaliKama wewe ni mshauri wake mkuu kwanini usimwambie ama kumshauri akupe shoo na mkewe ili nafsi yako itulie kuliko kukaa na wasiwasi siku zote?
katika ubora wako, tuwekee picha ya staili ya msomali kafia kwenye roli ya kwenye ule uzi wako pendwaUTakua utoto huo[emoji4]
Nini tena Mrs Kunguru[emoji41]
Nina uhakika hayupo hata hata hii lugha hajui.Vipi kama jamaa yupo humu anapitia huu uzi. Kuwa makini na mitandao itakuweka uchi.