Nilikuwa nausuburia kwa hamu uzi mpya wa simba utoke ila kwa haya ma mo mo moooo yaliyojaa kwenye jezi mtavaa wenyewe

Mbona ile ya utopolo ina matangazo ya gsm mgongoni mkononi nk hamsemi..? Kumamamaqe katoeni hela kumzidi mo.
Yaani, tatizo sio matangazo, tatizo ni kwanini MOOOO! Ukiwauliza, ni mdhamini gani mwingine alipeleka fedha akakataliwa, hawana jibu.
Itafika siku, watu watamuonea wivu MOOO, hata kuwazidi DHAMBI!
 
Mwisho ataanza kuandika majina ya ndugu zake kwenye jezi yetu, mara mo dewji mara azim dewji, kassim dewji, fatma dewji akimaliza hapo anaanza kuanzika majina ya chawa akianza na neno mo, mara mo mwijaku, mo barbara
Acha aandike wewe kama unapesa peleka ukaandikwe wewe.
 
Hapa shida ndio inaanzia, nimeangalia post zako nyuma wewe ni shabiki wa Yanga acha unafiki kujifanya Simba.

Alafu mashabiki wa Simba hapa ndio wanayumbishwa na watu kama nyinyi kujifanya ni Simba
 
Azam kapeleka hela ya matangazo imekataliwa ndio itakuwa mimi, halafu tunajua mashabiki wa makolo wote mbumbumbu kwa hiyo anawaendesha anavyotaka
We inakuhusu nini kwani ni timu yako acha unafiki bro
 
Mwisho ataanza kuandika majina ya ndugu zake kwenye jezi yetu, mara mo dewji mara azim dewji, kassim dewji, fatma dewji akimaliza hapo anaanza kuanzika majina ya chawa akianza na neno mo, mara mo mwijaku, mo barbara
Hahahaha 🀣🀣🀣🀣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...
 
Afu kuna alama ya mkono kwa nyuma.......ahahahaa
 
Kwahiyo pesa ya Mo mnaitaka lakini hamtaki kumtangazia bidhaa zake.

Mnakoelekea simba mtawatisha wadhamini maana mnawaonyesha tabia zisizotabirika kibiashara.

Tabia za namna hii si nzuri kwa uwekezaji.
Ndiyo atujazie ma moxtra kifuani namna hiyo? Mwamedi aache ushamba!
 
Kitu kimoja ambacho wengi hamuelewi namna mnavyo iongelea hiyo jezi na matangazo yake ndio mnaipa mileage hiyo bidhaa tangazwa. Reaction ya namna hii ndio wawekezaji wanapenda. Kwahiyo endeleeni Mo kule anafurahi tu bidhaa yake itapenya mpaka Ivory Coast na kwingineko
 
Tajiri hanuniwi mzee ulitaka uone jina la ukoo wenu hapo mbele mna hela nyinyi?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo pesa ya Mo mnaitaka lakini hamtaki kumtangazia bidhaa zake.

Mnakoelekea simba mtawatisha wadhamini maana mnawaonyesha tabia zisizotabirika kibiashara.

Tabia za namna hii si nzuri kwa uwekezaji.
Hivi na jezi za yanga zina GSM magodoro?[emoji23]
 
Mkuu uenda macho yako yana shida. Jezi za yanga zote kali
 
Mwisho ataanza kuandika majina ya ndugu zake kwenye jezi yetu, mara mo dewji mara azim dewji, kassim dewji, fatma dewji akimaliza hapo anaanza kuanzika majina ya chawa akianza na neno mo, mara mo mwijaku, mo barbara
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mo mwijaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…