Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani, tatizo sio matangazo, tatizo ni kwanini MOOOO! Ukiwauliza, ni mdhamini gani mwingine alipeleka fedha akakataliwa, hawana jibu.Mbona ile ya utopolo ina matangazo ya gsm mgongoni mkononi nk hamsemi..? Kumamamaqe katoeni hela kumzidi mo.
Mwisho ataanza kuandika majina ya ndugu zake kwenye jezi yetu, mara mo dewji mara azim dewji, kassim dewji, fatma dewji akimaliza hapo anaanza kuanzika majina ya chawa akianza na neno mo, mara mo mwijaku, mo barbaraMo arena
Mo chapati
Mo 29. Teh teh.
Acha aandike wewe kama unapesa peleka ukaandikwe wewe.Mwisho ataanza kuandika majina ya ndugu zake kwenye jezi yetu, mara mo dewji mara azim dewji, kassim dewji, fatma dewji akimaliza hapo anaanza kuanzika majina ya chawa akianza na neno mo, mara mo mwijaku, mo barbara
Azam kapeleka hela ya matangazo imekataliwa ndio itakuwa mimi, halafu tunajua mashabiki wa makolo wote mbumbumbu kwa hiyo anawaendesha anavyotakaAcha aandike wewe kama unapesa peleka ukaandikwe wewe.
We inakuhusu nini kwani ni timu yako acha unafiki broAzam kapeleka hela ya matangazo imekataliwa ndio itakuwa mimi, halafu tunajua mashabiki wa makolo wote mbumbumbu kwa hiyo anawaendesha anavyotaka
sasa kama kila kitu anatoa yeye mnatarajia nini
Naona Mo anajaza nafasi zilizo achwa wazi.
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...Mwisho ataanza kuandika majina ya ndugu zake kwenye jezi yetu, mara mo dewji mara azim dewji, kassim dewji, fatma dewji akimaliza hapo anaanza kuanzika majina ya chawa akianza na neno mo, mara mo mwijaku, mo barbara
Ndiyo atujazie ma moxtra kifuani namna hiyo? Mwamedi aache ushamba!Kwahiyo pesa ya Mo mnaitaka lakini hamtaki kumtangazia bidhaa zake.
Mnakoelekea simba mtawatisha wadhamini maana mnawaonyesha tabia zisizotabirika kibiashara.
Tabia za namna hii si nzuri kwa uwekezaji.
Wameikubali ile 5G!View attachment 2822173
Afu kuna alama ya mkono kwa nyuma.......ahahahaa
Had kaboaa yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kanjili sio mtu mzuri jezi kaifanya gazeti la matangazo [emoji23][emoji23]
Umesahau na hiyo mistari meupe mabegani imefanana na kamba za sidiria.
Hivi na jezi za yanga zina GSM magodoro?[emoji23]Kwahiyo pesa ya Mo mnaitaka lakini hamtaki kumtangazia bidhaa zake.
Mnakoelekea simba mtawatisha wadhamini maana mnawaonyesha tabia zisizotabirika kibiashara.
Tabia za namna hii si nzuri kwa uwekezaji.
Mkuu uenda macho yako yana shida. Jezi za yanga zote kaliMimi mbona nikiangalia naona hamna shida ubaya uko wapi ? labda ile nyeupe.
Ukienda kwa wanzetu nzuri ni moja tu ile inayotaka kufanana na nyeusi.
Anyway mawazo yangu tu
Shida wana simba ni kusikiliza sana maneno ya watu, afu ukute hao wanaongea ni uto.
Timu toka imeanza msimu huu haikuwa vizuri, tukalalamika tatizo kocha, hata kabla ya mechi ya Simba na Yanga tulikuwa tukilalamika na baadhi ya uto wakasema shida ni kocha.
Katolewa tunasema viongozi wamekurupuka, yani hatueleweki nini tunataka.
Hii inatokana kusikiliza maneno ya watu ambao uto ndio uongea sana.
Kwenye jersey ni hivyo hivyo, mnawasikiliza Yanga sana.
Leo tunajifanya kumkumbuka Barbara, eti yeye alikuwa mzuri, wakati mashabiki ndio tulikuwa tunasema atoke mpaka ameachia ngazi.
Afu leo tunajifanya kumkumbuka, yani hatuelewi nini tunataka, yani kila kitu kulalamika.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mo mwijakuMwisho ataanza kuandika majina ya ndugu zake kwenye jezi yetu, mara mo dewji mara azim dewji, kassim dewji, fatma dewji akimaliza hapo anaanza kuanzika majina ya chawa akianza na neno mo, mara mo mwijaku, mo barbara