Nilikuwa nawachukulia poa watu wenye gereji za mtaani, kumbe zinalipa ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
ni gereji ya mtaani, sio kubwa sana, ni ukubwa wa kiwanja cha nyumba

hivi karibuni nimejua mmiliki moja wapo wa hizi hereji ana maisha mazuri tu, watoto wake wanasoma shule private, ana nyumba mbili, gari prado na mke wake anayo ya kawaida, n.k.

nilikuwa nazichukulia gereji kawaida sana
 
Subiri waajiriwa wenzangu waje!
 
Gereji ni geresha tu,ana biashara zingine nyuma ya pazia.
magari yanatoboaga mifuko mpaka kuna muda unalipaki tu,

Gari kama nissan likianza kukuzingua hapa bongo utatamani uliuze hata milioni 4 na mteja hupati
 
Hizi kitu zinalipa ikiwa utatia fedha na kama unaujuzi
1. Garage LV
2. Carpentry W/shop
3. Machine W/shop
4. Engineering W/shop
5. Electrical & Electronics W/shop
6. Clean good food and bites restaurant
 
Back
Top Bottom