Subiri waajiriwa wenzangu waje!ni gereji ya mtaani, sio kubwa sana, ni ukubwa wa kiwanja cha nyumba
hivi karibuni nimejua mmiliki moja wapo wa hizi hereji ana maisha mazuri tu, watoto wake wanasoma shule private, ana nyumba mbili, gari prado na mke wake anayo ya kawaida, n.k.
nilikuwa nazichukulia gereji kawaida sana
Subiri waajiriwa wenzangu waje!
Gereji ni geresha tu,ana biashara zingine nyuma ya pazia.
magari yanatoboaga mifuko mpaka kuna muda unalipaki tu,Gereji ni geresha tu,ana biashara zingine nyuma ya pazia.
Hizi kitu zinalipa ikiwa utatia fedha na kama unaujuzi
1. Garage LV
2. Carpentry W/shop
3. Machine W/shop
4. Engineering W/shop
5. Electrical & Electronics W/shop
6. Clean good food and bites restaurant
ni gereji ya mtaani, sio kubwa sana, ni ukubwa wa kiwanja cha nyumba
hivi karibuni nimejua mmiliki moja wapo wa hizi hereji ana maisha mazuri tu, watoto wake wanasoma shule private, ana nyumba mbili, gari prado na mke wake anayo ya kawaida, n.k.
nilikuwa nazichukulia gereji kawaida sana
Msitangaze sana wataanza kuwekewa tozo kubwa Daah